PDA

View Full Version : Utambulisho

dRU
12-03-2008, 11:15 AM
Heshima zenu wakubwa na wadogo zangu!! Mimi mchumia juani na kama kawaida hulia kivulini na nina hakika hapa kijijini ni kivulini .. shime tule pamoja baada ya machweo mnikaribishe nami nijiunge mnamo kijiji kupata busara na nasaha za wanakijiji.

dRU:):p;):rolleyes:

makange
12-03-2008, 11:19 AM
Heshima zenu wakubwa na wadogo zangu!! Mimi mchumia juani na kama kawaida hulia kivulini na nina hakika hapa kijijini ni kivulini .. shime tule pamoja baada ya machweo mnikaribishe nami nijiunge mnamo kijiji kupata busara na nasaha za wanakijiji.

dRU:);):rolleyes:

Unakaribishwa Kijijini Mheshimiwa:p

Mpita Njia
12-03-2008, 02:33 PM
karibu sana mkuu

My more
12-03-2008, 03:16 PM
Heshima zenu wakubwa na wadogo zangu!! Mimi mchumia juani na kama kawaida hulia kivulini na nina hakika hapa kijijini ni kivulini .. shime tule pamoja baada ya machweo mnikaribishe nami nijiunge mnamo kijiji kupata busara na nasaha za wanakijiji.

dRU:):p;):rolleyes:

Zipo kibao, wakati mwingine utahitaji kuzipembua kidogo .....uwe huru mara unapojisikia kufanya hivyo!.

dRU!!!! KARIBU SANA.

duru langu
12-06-2008, 07:51 PM
Heshima zenu wakubwa na wadogo zangu!! Mimi mchumia juani na kama kawaida hulia kivulini na nina hakika hapa kijijini ni kivulini .. shime tule pamoja baada ya machweo mnikaribishe nami nijiunge mnamo kijiji kupata busara na nasaha za wanakijiji.

dRU:):p;):rolleyes:

Karibu kijijini dRU. Harakisha kujumuika katika mlo kabla
wengine hawajarudi juani kutafuta mlo mwingine lol

mwanakijiji
12-06-2008, 08:50 PM
Heshima zenu wakubwa na wadogo zangu!! Mimi mchumia juani na kama kawaida hulia kivulini na nina hakika hapa kijijini ni kivulini .. shime tule pamoja baada ya machweo mnikaribishe nami nijiunge mnamo kijiji kupata busara na nasaha za wanakijiji.

dRU:):p;):rolleyes:

dru, karibu kabisa kijijini, na ujisikie uko kivulini kabisa!

Mchungaji Ladslaus
12-06-2008, 08:55 PM
Heshima zenu wakubwa na wadogo zangu!! Mimi mchumia juani na kama kawaida hulia kivulini na nina hakika hapa kijijini ni kivulini .. shime tule pamoja baada ya machweo mnikaribishe nami nijiunge mnamo kijiji kupata busara na nasaha za wanakijiji.

dRU:):p;):rolleyes:

Karibu kundini Mchumia juani.
Ni kweli wala hujakosea hapa kijijini ni kivulini.
Wewe ulikuwa unachumia juani kule Dar, sasa karibu hapa kijijini kwetu 'mwankijiji.com' uinjoy kwa kula ulivyochuma.

Kepa
12-08-2008, 12:34 AM
Karibu kundini Mchumia juani.
Ni kweli wala hujakosea hapa kijijini ni kivulini.
Wewe ulikuwa unachumia juani kule Dar, sasa karibu hapa kijijini kwetu 'mwankijiji.com' uinjoy kwa kula ulivyochuma.

Ama kweli hiki kijiji kipo present every where. Zamani nilifikiri hiki kijiji kipo hapa Dar es-Salaam, baadaye nikaona hapana may bi kipo kwenye one of ze mikoa ya hapa TZ. Sasa hivi nimegundua hiki kijiji kipo located WORLD-WIDE (Afrika, Australia, Asia, Amerika, pia Ulaya).

Hongereni wanakijiji kwa kuwepo kila mahali kila saa.

dRU
12-08-2008, 02:24 AM

Ni kweli mimi nipo nje ya Tanzania kwa kipindi sasa!!!:)

My more
12-08-2008, 03:57 AM
Ni kweli mimi nipo nje ya Tanzania kwa kipindi sasa!!!:)

Kila la heri mkuu dRU
Kwa hiyo Mafisadi huko wenzetu mnawasikia tu:D:D usiombe ukutane nao live:mad:

mwanakijiji
12-08-2008, 05:01 PM
Kijiji chetu kikubwa jamani na kinaenea kwa kasi sana; siyo watu wengi wameanza kuchangia lakini kwa mwendoo huu I really like it kwa sababu tunakua taratibu kuliko kukua kwa nguvu.

My more
12-08-2008, 10:39 PM
Mwendo mzuri mkuu

Kepa
12-12-2008, 02:50 AM
Kijiji chetu kikubwa jamani na kinaenea kwa kasi sana; siyo watu wengi wameanza kuchangia lakini kwa mwendoo huu I really like it kwa sababu tunakua taratibu kuliko kukua kwa nguvu.

Naunga mkono hoja.