PDA

View Full Version : Unathibitisha vipi njama?



mwanakijiji
12-05-2008, 12:20 AM
Mojawapo ya mashtaka yaliyoletwa dhidi ya watuhumiwa wa EPA ni yale ya "kula njama". Nikikumbuka kesi za kuhujumu uchumi na hata ile ya Uhaini nakabiliwa na tatizo moja kubwa, unaweza vipi kuthibitisha "njama" beyond reasonable doubt?

zhukovski, Odessa
01-07-2009, 03:30 PM
Kuthibitisha njama "beyond reasonable doubt" ni kitu kisichowezekana kabisa! Njama yaani "conspiracy" ni "theory" au hisia kuwa jambo fulani "inawezekana" ilitokea hivi.