View Full Version : Umwambie mwenzi wako?
mwanakijiji
12-06-2008, 07:14 AM
Kama kule ofisini kuna mtu anaanza "kukuchokoza" au mambo ya ofisini yabakie ofisini!?
My more
12-07-2008, 12:58 AM
Kama kule ofisini kuna mtu anaanza "kukuchokoza" au mambo ya ofisini yabakie ofisini!?
Shiiii!!! !!!!! Somo yako nani wewe? Hayo mambo huwa hayatakiwi kabisa kujulikana na mwenzio tena huwa hatuyagusii kabisaaaa mwiko, weee mwana weee:eek::eek:
duru langu
12-11-2008, 01:25 AM
Kama kule ofisini kuna mtu anaanza "kukuchokoza" au mambo ya ofisini yabakie ofisini!?
Ukimwambia si ndio unatafuta kesi? Kwa lugha nyingine
ndio unapanda mbegu ya kutokukuamini. Ole wako mbegu
hiyo ikimwagiliwa maji na kuwekewa mbolea (aka wambeya)!
My more
12-11-2008, 01:12 PM
Ukimwambia si ndio unatafuta kesi? Kwa lugha nyingine
ndio unapanda mbegu ya kutokukuamini. Ole wako mbegu
hiyo ikimwagiliwa maji na kuwekewa mbolea (aka wambeya)!
Baeleze wajuwe wenzako hawajajuwa!!!:D:D:D
Kama kule ofisini kuna mtu anaanza "kukuchokoza" au mambo ya ofisini yabakie ofisini!?
Uchokozi wa kivipi? Anakupangia kazi ngumu, anakulimit kwenye vitendea kazi, anafanya joke mara kwa mara au ni uchokozi gani wazungumzwa hapa?
My more
12-12-2008, 10:42 AM
Uchokozi wa kivipi? Anakupangia kazi ngumu, anakulimit kwenye vitendea kazi, anafanya joke mara kwa mara au ni uchokozi gani wazungumzwa hapa?
Kepa hiki kituo kinaitwa marriage and family.:D:D yaani uchokozi wa ki-hivyo !!!
lemunyake
01-05-2009, 02:38 PM
Wazungu wanasema Sexual Harassment. Mie nadhani nimuhimu kumwambia mwenzio. That will show real maturity. Ila iwe pande zote mbili , mume akichokozwa k.m na bosi wake wa kike , na vice versa.
mwanakijiji
01-05-2009, 05:10 PM
Wazungu wanasema Sexual Harassment. Mie nadhani nimuhimu kumwambia mwenzio. That will show real maturity. Ila iwe pande zote mbili , mume akichokozwa k.m na bosi wake wa kike , na vice versa.
sasa mwanamme kwa kweli kusema anachozwa na mdada ofisini nadhani itakuwa kazi kidogo; utaonekana kama "weak".
My more
01-06-2009, 02:27 AM
sasa mwanamme kwa kweli kusema anachozwa na mdada ofisini nadhani itakuwa kazi kidogo; utaonekana kama "weak".
Na mwanamke akichokozwa naona asiseme kwa mume wake maana ataonekana' very strong' au imekaa vibaya?
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.