View Full Version : Zitto amtaja "Waziri" anayetuhumiwa na Mengi!
Kwni hata imechukua muda mrefu!! "Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, amesema ana ushahidi kuwa, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha ndiye aliyepeleka hoja..." Ndipo hapo tunasema "ukiona zinduna, ambari iko nyuma". Wpo waliyodiriki kusema wana "vijisenti" wakati ni mamilioni ya pesa, na sasa wamekuja wengine na mambo chungu tele, yaani ni matukio baada ya matukio, hili halijesha jipya laja tena toka mtiririko ule ule. Jamani mpeni ahueni JK, eti mkumbuke "Shika! Shika! na mwenyewe nyuma" sasa atafuata nyuma na nani maana hii shika shika imekuwa kiiiiila pahala sasa!!
Wananchi hatukaa kimya maana hapa kesha tajwa nyoka yumkini fimbo mkononi!! (Ukitaja nyoka, shika fimbo mkononi).
Mwanakijiji elewa "Kenda karibu na kumi" saa zimewadia:D
mwanakijiji
12-07-2008, 07:22 PM
dRU, sasa kama ni Masha, hivi kweli yeye kulizungumzia suala hilo ilikuwa ni haki. Halafu yeye akiwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani? Alikuwa na lengo gani kufanya hivyo?

Mwanakijiji hapa pana mengi ya kuhoji na mengi ya kuongea na hizi ndiyo Siasa (Si-Hasa) ambazo zimejenga nchni kwetu, Kamba hukatikia pabovu - na ndiyo huu wakati tutaona nyingi zikikatika, kwani umesahau usemi usemao kwamba "Kinga na kinga ndipo moto uwakapo" - Things dont just happen by accidents... Tega sikio Mwanakijiji:cool:
Mwanakijiji katika upekuzi pekuzi kwenye tovuti ya Bunge nimekuta wasifu wa Mheshimiwa Masha - Ni mwanasheria. Sasa sijui ndiyo kubobea kwenye maswala ya sheria ndiyo mambo kwake yanakuwa hivi????:confused::confused::confused:
Georgetown University Law Centre LL.M 1992 1993 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam LL.B (Hons) 1987 1991 GRADUATE
New Rochelle Academy High School Diploma 1981 1986 HIGH SCHOOL
New Rochelle Academy Primary Education 1976 1981 PRIMARY
Ministry of Home Affairs Minister 2/13/2008
Tanzania Oxygen Limited Company Secretary 1997 2000
Tanzania Oxygen Limited Managing Director 1997 2000
IMMMA Advocates Partner 1997 Todate
Maajar, Rwechungura Law Office Legal Officer 1995 1997
International Law Chambers Legal Officer 1991 1995
Ministry of Home Affairs Deputy Minister 10/17/2006 2/8/2008
Ministry of Energy and Minerals Deputy Minister 1/1/2006 10/16/2006
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of UVCCM National Council 2003 2003
Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary General(UVCCM) 2003 2003
Chama Cha Mapinduzi - CCM Youth Commander(UVCCM-Kawe) 2002 2005
Chama Cha Mapinduzi - CCM Party Warden 2002 2002
Mwanakijiji katika upekuzi pekuzi kwenye tovuti ya Bunge nimekuta wasifu wa Mheshimiwa Masha - Ni mwanasheria. Sasa sijui ndiyo kubobea kwenye maswala ya sheria ndiyo mambo kwake yanakuwa hivi????:confused::confused::confused:
Georgetown University Law Centre LL.M 1992 1993 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam LL.B (Hons) 1987 1991 GRADUATE
New Rochelle Academy High School Diploma 1981 1986 HIGH SCHOOL
New Rochelle Academy Primary Education 1976 1981 PRIMARY
Samahani kwani mheshimiwa waziri( kijana) Alizaliwa mwaka gani?
dRU, sasa kama ni Masha, hivi kweli yeye kulizungumzia suala hilo ilikuwa ni haki. Halafu yeye akiwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani? Alikuwa na lengo gani kufanya hivyo?
Mr. Minister Kijana thought he would make or design a new game, set the rules of the game, and then come back to compete for medal on same game. Tanzanians will never allow him to do that.:mad:
I gues his plan was to preempty the authorities.
Samahani kwani mheshimiwa waziri( kijana) Alizaliwa mwaka gani?
1970 (kutoka tovuti ya bunge)
gadiel55
12-08-2008, 10:32 AM
Nimefuatilia hiyo CV ya mhe, Masha na nina mambo kadhaa najiuliza kuhusu usahihi wake:
Inaonyesha kwamba kasoma miaka mitano tu PRIMARY. Na pia kasoma miaka mitano Sekondari. Baada ya hapo kasoma UDSM kwa miaka 5 first degree na Masters degree.
Sasa inaonekana pia kwamba ni partner kwenye law firm ya AMMMA. Ninachojiuliza ni kwamba hivi hakuna CONFLICT OF INTEREST kweli kwa waziri anayeshughulikia mambo ya home affairs kuwa partner kwenye law firm? Si alitakiwa ajiuzulu kwanza au ajitoe kabisa? Maana CV yake inasema ni partner TODATE. Wachunguzi....., chunguzeni!

Mwanakijiji, Kepa, My More, Makange, Acha Fujo, Mchungaji Ladlaus, Duru langu na wengineo tupeni nasaha zenu!! Mmmesoma gadiel55!!?:(:confused:
mwanakijiji
12-08-2008, 04:50 PM

Gadiel, mojawapo ya sheria za ajabu ni hiyo; ndiyo maana watu kama Mkono bado ni Mwanasheria tena practicing akichota mabilioni toka Benki Kuu na mashirika mengine ya umma. Hilo la Masha unaweza hata kumpongeza maana yeye kachukua "sabbatical" ingawa haina maana hanufaiki na mapato ya law firm yao ananufaika bado.

dRU, usiwe na shaka kuna kitu kingine ambacho tumekifunua kwenye "Cheche" toleo la kesho kuhusiana na jambo hili.
Mkongwe
12-08-2008, 05:18 PM
dRU, usiwe na shaka kuna kitu kingine ambacho tumekifunua kwenye "Cheche" toleo la kesho kuhusiana na jambo hili.
Kwa hakika mambo ya Masha yanatisha! Wachunguzi wetu kwenye blog hii wakimfuatilia waziri huyu kijana wanaweza kunusa mengi. Hivi Waziri huyu ndiye anayesimamia national ID? the project is not taking off lakini anatumia muda wake kumshughulikia Mengi. I suggest Mwanakijiji amfanyie interview mtu huyu ni kisha Mzee uanike kwenye blog yetu
mwanakijiji
12-08-2008, 05:45 PM

Mkongwe wazo zuri hilo; ngoja tutamtafuta...
Mr. XXX
12-09-2008, 06:20 PM
Hivi mnafikiri Zitto akipata madaraka na yeye hatokuwa fisadi? Viongozi wote tulionao ni "potential fisadis". Njia pekee ya kuwajua kama ni mafisadi ni kuwaonjesha madaraka.
My more
12-10-2008, 05:55 PM
Hivi mnafikiri Zitto akipata madaraka na yeye hatokuwa fisadi? Viongozi wote tulionao ni "potential fisadis". Njia pekee ya kuwajua kama ni mafisadi ni kuwaonjesha madaraka.
kwa hiyo ni bora kutokuwa na viongozi kabisa??
magoma
12-10-2008, 07:31 PM
Madaraka sio lazima kuwa waziri au Rais, ila hapo alipo Zito tayari ni kiongozi maana ana madaraka kama mbunge na anawaongoza watu wa Jimboni kwake na taifa kwa ujumla sasa tangu awe na hayo madaraka ameshafanya ufisadi wowote may be wengine hatuujui wewe waujua, mi nadhani Watanzania bado tunao uwezo wa kuchagua viongozi wazuri tu kama tukiachana na kulubuniwa na vijizawadi katika kipindi cha uchaguzi ufikapo, na hatuwezi kuishia bila viongozi maana uongozi umeanzia kwa Muumba hata wana wa Isreal(Bible) walipewa viongozi na Mungu kila walivyohitaji. na kiongozi bora ni dira ya maendeleo ya watu wake kama akitumia vizuri na kwa hekima mamlaka aliyokabidhiwa na Wananchi wake. . Soma hata katka kitabu cha WAAMUZI(Bible) utaona jinsi ambavyo watu walichagua viongozi na jinsi Mungu alivyoshiriki kuchagua viongozi bora ingawaje baadaye walibadilika lakini hakuwaacha aliwaadhibu baadaye kama uonavyo MRAMBA NA YONA na sasa anakuja MASHA. natoa hoja ndugu wanakijiji wenzangu.
Mkongwe wazo zuri hilo; ngoja tutamtafuta...
Sapoti mia kwa mia ila ninakutahadharisha mwanakijiji kwamba "Usicheze na simba, ukamtia mkono kinywani" -- :D:D
My more
12-11-2008, 12:58 PM
Gadiel, mojawapo ya sheria za ajabu ni hiyo; ndiyo maana watu kama Mkono bado ni Mwanasheria tena practicing akichota mabilioni toka Benki Kuu na mashirika mengine ya umma. Hilo la Masha unaweza hata kumpongeza maana yeye kachukua "sabbatical" ingawa haina maana hanufaiki na mapato ya law firm yao ananufaika bado.
Hivi zile kanuni za viongozi wa serikali siku hizi zimebadilika kidogo?
Shahada
12-11-2008, 02:11 PM
Kwa kweli Masha ametuaibisha vijan awenzie sisi tulijua atatuwakilisha ipasavyo ona sasa tunaonekana vijana wote hamnazo na ndio maana uongozini vimejaa vibabu............. am so disappointed
Mpita Njia
12-11-2008, 03:14 PM
Hivi mnafikiri Zitto akipata madaraka na yeye hatokuwa fisadi? Viongozi wote tulionao ni "potential fisadis". Njia pekee ya kuwajua kama ni mafisadi ni kuwaonjesha madaraka.
Kwa nini tusiwazungunmzie kwanza mafisadi ambao wameshajidhihirisha? kwa nini tuanze kupiga ramli na kuanza kufikiria Zitto akipata madaraka atakuwaje?
mwanakijiji
12-11-2008, 06:16 PM
Kwa nini tusiwazungunmzie kwanza mafisadi ambao wameshajidhihirisha? kwa nini tuanze kupiga ramli na kuanza kufikiria Zitto akipata madaraka atakuwaje?
maswali matamu hayo!!
dickabudi
03-11-2009, 11:30 AM
Conflict of Interest ingekuwepo kama Mh Masha angeficha kama yeye si partner wa IMMA, wapo wengi tu viongozi wa Serikali na vyama mbalimbali wanajishughulisha na ukurugenzi katika makampuni mifano michache ni
Mbowe The Billicana's kampuni kopaji katika taasisi za umma za kibenki na mambo ya fedha, pia ndiye mmiliki wa Free Media wachapishaji wa Tanzania Daima
Mh Ndesamburo a.k.a NDESA PESA ana mahoteli na biashara nyingi tu
Halima Mdee ni mwanasheria na Wakili
Mh Zitto Kabwe Consultant ambapo huchukua tenda mbalimbali katika idara za serikali na kuzishauri
Mh Samwel Sitta anakampuni ya Uwakili
Prof Mwandosya
na wengi tu wanafanya biashara zao kama vile Mh Augustino Lyatonga Mrema anamiliki Bar and Mgahawa pale Himo Njiapanda
Dr Antony Diallo anamiliki Televesion ya Star TV, Radio Free Africa pia kampuni ya Ndege ya Communityair
Kwa hiyo sijaona tatizo la Masha hapa unless tumemkamia tu
Viongozi ni wengi tu tuanzie hata kwenye Halmashauri za Wilaya na Manispaa watu pia wanafanya biashara zao
Elimu aliyo nayo Masha ni Mfumo wa Marekani asingepata nafasi kusoma Chuo Kikuu Cha Dar kama ingekuwa ya kiwango duni hivyo kupata admission chuo kikuu cha dar inadhihirisha ni kiwango kinacho kubalika pita kwenye mtandao wa Bi Condolesa Rice utaona amepita katika mfuma wa Elimu wa Waziri Masha
pangamawe
03-11-2009, 01:34 PM
Jamani huyo Masha hajazaliwa 1970 ni kijeba wa mwaka 1967 na ndivyo alivyokuwa akijitambulisha chuo na kote kwineko. Kapunguza miaka alipoingia kwenye siasa kama rafiki zake kadhaa walivyojipachika PHD feki ili kujiongezea ujiko kwenye siasa yeye aliamua kufyeka miaka mitatu ili aonekane mwanasiasa kijana
mwanakijiji
03-11-2009, 04:49 PM
Jamani huyo Masha hajazaliwa 1970 ni kijeba wa mwaka 1967 na ndivyo alivyokuwa akijitambulisha chuo na kote kwineko. Kapunguza miaka alipoingia kwenye siasa kama rafiki zake kadhaa walivyojipachika PHD feki ili kujiongezea ujiko kwenye siasa yeye aliamua kufyeka miaka mitatu ili aonekane mwanasiasa kijana
sasa ndiyo sababu ilileta shida kwa watu kuelewa aliingiaje UDSM akiwa na miaka 17 hivi?
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.