View Full Version : MEGZ(Formely known as MAMAPAROKO!)
Jamani naombeni kukaribishwa katika mabaraza haya, nipate kutoa mchango wangu wa fikra katika mapambano yaliyopo mbele yangu/yetu, natanguliza shukrani kwa wote niliowakuta, tuendeleze gurudumu la mapambano ya fikra tusichoke!
My more
12-11-2008, 02:32 PM
karibu karibu Megz!!. mwanawane ' this your new name made me smile for a while'.
]Karibu mwaya wala hujachelewa kwenye kulisukuma hilo gurudumu[/COLOR]
anonymous
12-11-2008, 02:46 PM
Jamani naombeni kukaribishwa katika mabaraza haya, nipate kutoa mchango wangu wa fikra katika mapambano yaliyopo mbele yangu/yetu, natanguliza shukrani kwa wote niliowakuta, tuendeleze gurudumu la mapambano ya fikra tusichoke!
Karibu MEGZ!!
Tushapazoea kijijini wenzako. Sijui umetuletea kitoweo gani mwenzetu!!

nimewaletea busara mingi tu.
anonymous
12-11-2008, 03:22 PM
nimewaletea busara mingi tu.
Wewe MamaParoko wewe!!! Eti BUSARA!!!
Angalia usijeshindwa tunza hadhi yako hapa!!! Wataiburuza hiyo P (Personality) kwenye tope!!
Ohoooo!!!!! Haya, ngoja tuone hizo busara zako:)
Shahada
12-11-2008, 03:31 PM
karibu MEGZ..... mie nakukaribisha ingawaje nami mgeni ila nakuona mwenzangu bado una kamba mguuni haya nielekeze njia ya kisimani mwakwetu
My more
12-11-2008, 05:02 PM
Wewe MamaParoko wewe!!! Eti BUSARA!!!
Angalia usijeshindwa tunza hadhi yako hapa!!! Wataiburuza hiyo P (Personality) kwenye tope!!
Ohoooo!!!!! Haya, ngoja tuone hizo busara zako:)
Acha kumtishia!! hapa kila sentensi moja ni point! wewe tu Anony.... MEGZ karibu rum!;)
anonymous
12-11-2008, 05:07 PM
Acha kumtishia!! hapa kila sentensi moja ni point! wewe tu Anony.... MEGZ karibu rum!;)
Du!!! Nilikuwa sijui kama ninamtisha mtu:)
My more
12-11-2008, 05:27 PM
Du!!! Nilikuwa sijui kama ninamtisha mtu:)
Angalia bwana mtego umekaa vibaya huooo:D:D
mwanakijiji
12-11-2008, 06:15 PM
Karibu mama Megz, naona wenyeji washakukaribisha na miye naungana nao. Bahati mbaya wengine ndio bado wako shambani.. wakija watakusalimia.. si unajua tena mgeni akija kijijini hadi balozi naye apate taarifa..
Acha kumtishia!! hapa kila sentensi moja ni point! wewe tu Anony.... MEGZ karibu rum!;)
Na hii nayo ni point nafikiri.....KARIBU MEGZ.:D:D
Mpita Njia
12-27-2008, 02:55 PM
Karibu mama Megz, naona wenyeji washakukaribisha na miye naungana nao. Bahati mbaya wengine ndio bado wako shambani.. wakija watakusalimia.. si unajua tena mgeni akija kijijini hadi balozi naye apate taarifa..
na mimi nimechelewa wkeli kurudi toka shambani, nyani walikuwa wanasumbua sana. karibu Mama Paroko, umeshafika nyumbani usihofu
mwafrika wa kike
12-30-2008, 06:36 AM
Jamani naombeni kukaribishwa katika mabaraza haya, nipate kutoa mchango wangu wa fikra katika mapambano yaliyopo mbele yangu/yetu, natanguliza shukrani kwa wote niliowakuta, tuendeleze gurudumu la mapambano ya fikra tusichoke!
MEGZ karibu sana jamvini.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.