PDA

View Full Version : May I.........?

Shahada
12-11-2008, 02:20 PM
Hellow people
Please may I come in...............? Nabisha hodi mwayeni nsijeingia tu nkawakuta wenyeji mmekaa vibaya bure........... Haya Hodini naitwa shahada . formally Dommy ila :)kwa sasa nimebatizwa upya naitwa Shahada.:)

My more
12-11-2008, 02:26 PM

Tobaa!! Shahada ushaanza mambo yako mhhh ....jamani jamani naombea Duru langu asiione hii thread vinginevyo itabidi mods waihamishie rum:D:

Karibu mwaya.... togwa pia lipo hapa jiservie

Shahada
12-11-2008, 02:32 PM
Tobaa!! Shahada ushaanza mambo yako mhhh ....jamani jamani naombea Duru langu asiione hii thread vinginevyo itabidi mods waihamishie rum:D:

Karibu mwaya.... togwa pia lipo hapa jiservie

Hee My More nimeanza nini tena?.... mimi nimeuliza kama naweza kuingia.......... katika familia hii jamani.

Mods please kama nimekosea niambieniila tu msinimwagie nje........ toba msinifungie nje please!!:cool::cool:

Aksante sana My More nashukuru ila nadhani togwa litanifaa

anonymous
12-11-2008, 02:44 PM
Hellow people
Please may I come in...............? Nabisha hodi mwayeni nsijeingia tu nkawakuta wenyeji mmekaa vibaya bure........... Haya Hodini naitwa shahada . formally Dommy ila :)kwa sasa nimebatizwa upya naitwa Shahada.:)

Unakaribishwa bwana Shahada. Ila sijui kama hilo jina lako lina uhusiano wowote na elimu uliyonayo au la!!!:D

Shahada
12-11-2008, 02:47 PM
Unakaribishwa bwana Shahada. Ila sijui kama hilo jina lako lina uhusiano wowote na elimu uliyonayo au la!!!:D

mh. hapana anonymous. jina hili halina uhusiano wowotw na kitabu wala elimu.

Aksante kwa kunikaribisha pia

anonymous
12-11-2008, 02:50 PM
mh. hapana anonymous. jina hili halina uhusiano wowotw na kitabu wala elimu.

Aksante kwa kunikaribisha pia

Je, unaweza kuturuhusu tuanze kutilia mashaka level ya elimu labda??

Shahada
12-11-2008, 02:53 PM
Je, tunaweza unaweza kuturuhusu tuanze kutilia mashaka level ya elimu labda??

..oh Is that one of the conditions in here?.... I didnt know anyway unakaribishwa kutilia mashaka chochote unachohisi kinatatiza bwana anonymous.... I will be very pleased to be your host.:cool:

anonymous
12-11-2008, 03:06 PM
..oh Is that one of the conditions in here?.... I didnt know anyway unakaribishwa kutilia mashaka chochote unachohisi kinatatiza bwana anonymous.... I will be very pleased to be your host.:cool:

ahahahahahaaaaaaaaaa!! Sidhani kama sheria mojawapo ya kuwa kijijini ni elimu. Ingekuwa hivyo basi usingetukuta wenzio huku:D:D

My more
12-11-2008, 03:13 PM
Mods please kama nimekosea niambieniila tu msinimwagie nje........ toba msinifungie nje please!!

I real missed you people!!!:D:D:D:

My more
12-11-2008, 03:16 PM
ahahahahahaaaaaaaaaa!! Sidhani kama sheria mojawapo ya kuwa kijijini ni elimu. Ingekuwa hivyo basi usingetukuta wenzio huku:D:D

Go! Anony go get them tigers:D

anonymous
12-11-2008, 03:16 PM
I real misses you people!!!:D:D:D:

Du!!! Hichi kiingereza nacho:D

My more
12-11-2008, 03:18 PM
Unakaribishwa bwana Shahada. Ila sijui kama hilo jina lako lina uhusiano wowote na elimu uliyonayo au la!!!:D

Shukrani mwenyeji Anony kwa ukaribisho mzuri kwa mgeni wetu Shahada:D:D

Shahada
12-11-2008, 03:26 PM
ahahahahahaaaaaaaaaa!! Sidhani kama sheria mojawapo ya kuwa kijijini ni elimu. Ingekuwa hivyo basi usingetukuta wenzio huku:D:D

.... Si ndo mana nkataka kushangaa!!........ at unatilia mashaka elimu yangu au nimekuelewa ndivyo sivyo bwana?

Haya nipeni langu jembe nkalime langu shamba:D:D

anonymous
12-11-2008, 03:33 PM
.... Si ndo mana nkataka kushangaa!!........ at unatilia mashaka elimu yangu au nimekuelewa ndivyo sivyo bwana?

Haya nipeni langu jembe nkalime langu shamba:D:D

Du!!! wewe Shahada!!! Yaani umeingia kijijini tu halafu eti unakimbilia shambani??
Umepewa na nani hilo shamba?? Au wewe mwenyeji halafu unatuzuga eti ndio unaingia eee:mad:

Shahada
12-11-2008, 03:36 PM
Du!!! wewe Shahada!!! Yaani umeingia kijijini tu halafu eti unakimbilia shambani??
Umepewa na nani hilo shamba?? Au wewe mwenyeji halafu unatuzuga eti ndio unaingia eee:mad:

Ah anony. kijiji cha ujamaa si kuna shamba la ujamaa ambalo linamilikiwa na wote?. So niko sahihi kuomba jembe nikalime jamani mbona wanzulia ya kunzulia mwana wa binadamu mwenzio?..........!!

My more
12-11-2008, 03:37 PM
Du!!! wewe Shahada!!! Yaani umeingia kijijini tu halafu eti unakimbilia shambani??
Umepewa na nani hilo shamba?? Au wewe mwenyeji halafu unatuzuga eti ndio unaingia eee:mad:

Leo hapa tutaona mambo!!!:cool:

anonymous
12-11-2008, 03:42 PM
Ah anony. kijiji cha ujamaa si kuna shamba la ujamaa ambalo linamilikiwa na wote?. So niko sahihi kuomba jembe nikalime jamani mbona wanzulia ya kunzulia mwana wa binadamu mwenzio?..........!!

Ndio, shamba ni la ujamaa lakini si uulize bwana. Je kama leo tuna kikao. Hutahudhuria???

Shahada
12-11-2008, 03:45 PM
Ndio, shamba ni la ujamaa lakini si uulize bwana. Je kama leo tuna kikao. Hutahudhuria???

Eh Sawa mwenyeji... nisamehe kwa papara zangu!1 Haya leo kuna ratiba gani hapa kijijini?:D

anonymous
12-11-2008, 03:50 PM
Eh Sawa mwenyeji... nisamehe kwa papara zangu!1 Haya leo kuna ratiba gani hapa kijijini?:D

Sasa mambo si ndio hayo Shahada:) Kumbe unaweza tulia eee.
Safi sana:D
Haya nenda ofisi ya kijiji kwenye ubao wa matangazo uangalie utaratibu pale.
Mi naenfda zangu kijiweni sasa hivi:cool:

My more
12-11-2008, 04:51 PM
Du!!! Hichi kiingereza nacho:D

Ooops :rolleyes: Unafikiri kingereza tu ndio shida? Kiswahili nacho ni ki- hard kweli kweli . Ndiyo dizaini za kijijini:D

My more
12-11-2008, 04:59 PM
Sasa mambo si ndio hayo Shahada:) Kumbe unaweza tulia eee.
Safi sana:D
Haya nenda ofisi ya kijiji kwenye ubao wa matangazo uangalie utaratibu pale.
Mi naenfda zangu kijiweni sasa hivi:cool:

Haumsindikizi? ataujua ubao wa kijiji ulipo?:):

anonymous
12-11-2008, 05:02 PM
Ooops :rolleyes: Unafikiri kingereza tu ndio shida? Kiswahili nacho ni ki- hard kweli kweli . Ndiyo dizaini za kijijini:D

ahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa Hapo My More umenivunja MBAVU:D
Haya bwana, tujikongoje kongoje hivyo hivyo tu ndio kijiji chetu hichi bwana:D

Kepa
12-12-2008, 02:46 AM
ahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa Hapo My More umenivunja MBAVU:D
Haya bwana, tujikongoje kongoje hivyo hivyo tu ndio kijiji chetu hichi bwana:D

Angalia bwana usije ukatuletea kesi za bure hapa Kijijini, kachukue PF3 haraka kama hali mbaya sana:D:D