PDA

View Full Version : Just a note

Kepa
11-07-2008, 05:01 PM
Hello Ladies and Gentlemen, I salute you all.

Am glad to be invited here to share, cheer and learn from diffent opinions and wisdoms so to say.

Like listerning to peolpe's ideas. Am fan of challenges and jokes, I consider myself being of little bit difficult to get easily annoyed by peoples opinion

Let us do it to challenge our motherland , and ourselves.

KK.

mwanakijiji
11-07-2008, 05:35 PM
Karibu sana Kepa.. tunarajia michango yako mingi.

Kepa
11-08-2008, 04:36 AM
Nitafanya hivyo kila nipatapo fursa.

My more
11-30-2008, 10:53 PM
Hello Ladies and Gentlemen, I salute you all.

I consider myself being of little bit difficult to get easily annoyed by peoples opinion

KK.

Hujakutana na maudhi ndugu yangu, kama hutanuna ujue lazima utaguna. Mwenzako nimeshaitwa mzee mzee mapemaaaa!!! :mad:

Ach-F
11-30-2008, 11:09 PM
Hujakutana na maudhi ndugu yangu, kama hutanuna ujue lazima utaguna. Mwenzako nimeshaitwa mzee mzee mapemaaaa!!! :mad:

My More

Samahani kwani sikuwa na nia ya kukuita Mzee jinsi unavyofikiria. I'm sorry.

My more
11-30-2008, 11:20 PM
My More

Samahani kwani sikuwa na nia ya kukuita Mzee jinsi unavyofikiria. I'm sorry.

Bila samahani Acha fujovwala usitie shaka, ndio raha ya baraza. Naona unanitabilia maisha marefu! :D:D

mwanakijiji
11-30-2008, 11:40 PM
yote mema jamani yote mema.. baraza hili litakuwa na urafiki, mizaha, utani, n.k lakini litakuwa makini kutopoteza lengo la kujadili mambo ambayo ni muhimu kwa mustakabali wa Taifa letu. Hivyo, tusiweke husuda, kinyongo, au kitu chochote hasi ambacho kitatufanya tutumie muda mwingi kuombana misamaha. Ukiwa na jambo lolote na memba mwingine hapa tumia feature ya PM kuwasiliana na kuyamaliza "kinyumbani".

Mchungaji Ladslaus
12-01-2008, 09:04 AM
Amani ya Mungu mkuu iwe nasi wote hapa Jamvini la "Wanakijiji".

Mpita Njia
12-01-2008, 10:16 AM
Amani ya Mungu mkuu iwe nasi wote hapa Jamvini la "Wanakijiji".

Amen Mchungaji

My more
12-01-2008, 06:07 PM
Amani ya Mungu mkuu iwe nasi wote hapa Jamvini la "Wanakijiji".

Amina Pastor.., hapa Amani kabisaaa.. Naungana na Mpita njia. kanifundisha somo zuri sana kwenye hicho kipengele. Big 5 Wakupita..!!!

Kepa
12-03-2008, 04:51 PM
My More

Samahani kwani sikuwa na nia ya kukuita Mzee jinsi unavyofikiria. I'm sorry.

Binti naona umeshaanza mbwembwe zako:D:D kuwaweka watu roho juu.

Karibu sana. Naamini yote salama.