View Full Version : Picha hii ni ya wapi?
mwanakijiji
12-11-2008, 07:23 PM
http://www.jamiiforums.com/members/mzee-mwanakijiji-albums-news-worthy-picture232-ikulu.jpg
My more
12-12-2008, 01:57 AM
http://www.jamiiforums.com/members/mzee-mwanakijiji-albums-news-worthy-picture232-ikulu.jpg
Mbona mimi siioni? msaada kwenye tuta jamani!!!
Max Shimba
06-21-2009, 01:14 AM
Naona si ya wapi mkuu
Ach-F
06-22-2009, 01:00 AM
Chukua Chako Mapema na RA wameamua kumtuma askari Kanzu ughaibuni ili kuona uchaguzi wao wa 2010 hauingii dosari. Je, nini hasa wanachotaka kukifanikisha? Askari huyo ambaye atatua nchini Uingereza katka siku za usoni inaaminika ni gwiji {wanavofikiria) wa kuweza kutoa ushawishi kwani ni mmoja kutoka kambi inayoonekana ni ya upinzani. Pesa ya walipa kodi itaendela kupotea wakati jibu la swali hilo liko pale pale nyumbani.
Stay tuned.
The Great Cardinal
06-22-2009, 01:08 PM
Jamani na mie siioni hiyo pic. Saidieni.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.