PDA

View Full Version : Ngeleja: "Hatutanunua mitambo ya Dowans"



mwanakijiji
12-17-2008, 05:20 PM
Habari ndiyo hiyo:

http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/thumbs/1229518579_waziriwanishati.jpg

My more
12-18-2008, 12:51 AM
Ati? Hatutanunua au Tutanunua?

mwanakijiji
12-18-2008, 01:00 AM
Hatutanunua! ni makosa yangu.

My more
12-18-2008, 03:17 AM
Hatutanunua! ni makosa yangu.

Good call Mwanakijiji !!
Hii ni dalili ya mvua Mheshimiwa Ngeleja?

Naona sasa kuna misemo ya kiswahili itabidi iwe outdated hasa kwenye jukwaa la siasa, Kwa mfano:-
Kelele za Chura hazimzuii tembo kunywa maji

Iweke hivi, Kelele za walalahoi / wapiganaji hivi sasa zinawazuia viongozi kula rushwa, kutowajibika ipasavyo, kuwa mafisadi, kujiamulia mambo kienyeji kwa manufaa yao wenyewe.....!