View Full Version : EWURA-Tuumie hadi lini?
chimpungururu
12-17-2008, 06:52 PM
OPEC leo wameamua kupunguza uzalishaji wa mafuta, EWURA wataweza kweli kutupunguzia nauli?
mwanakijiji
12-17-2008, 10:09 PM
wenzako wanaweza kujikuta wakiongeza!
chimpungururu
12-22-2008, 07:31 PM
"......wenzako wanaweza kujikuta wakiongeza!"
Naam, tutarajie hilo. Hii mamlaka kwa jinsi ilivyolishughulikia suala la kupunguza bei ya mafuta naona imepoteza sifa yakuwa "regulatory organ". SUMATRA nao wameendelea kubaki kimya, huku wakijua kwamba ABIRIA hawana chombo cha kuwaunganisha kudai haki zao, hasa kupata punguzo la nauli. Hasa ikizingatiwa kwamba kilichosababisha nauli kupanda ni kuongezeka kwa gharama za uendeshaji baada ya kupanda kwa bei ya mafuta, pengine tumesahau. Nadhani mifumo mibovu inaendelea kuwepo kwasababu watu wachache wananufaikanayo. We should take charge of our own lives!
Niwasilishe!
mwanakijiji
12-22-2008, 10:34 PM
hivi tatizo la maji hasa nchini linasababishwa nini wakati tumezungukwa na maziwa makubwa matatu, mito bwelele.. na mvua za majira yake?
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.