PDA

View Full Version : 4 Wengine watinga Mahakamani kuhusu EPA



mwanakijiji
11-07-2008, 05:17 PM
Wafanyakazi wanne wa benki kuu ya tanzania (bot) leo wametinga mahakamani kujibu mashtaka yanayohusiana na wizi wa pesa za epa wa zaidi ya shilingi bilioni 207 mali ya bot.

Wafanyakazi hao waliosimama kizimbani ni pamoja na:

1. Kaimu mkurugenzi wa idara ya madai bi. Esther komu.
2. Kaimu kati bu wa benki bw. Bosco kimela
3. Imani mwakyosa
4. Sophia joseph

wote wamefika mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu mh. Hezron mwankenja. Habari kamili baaadaye

Ach-F
11-07-2008, 11:03 PM
Walianza kushika kambale sasa naona wameanza kushika dagaa, Papa watashikwa lini?

mchukia fisadi
11-11-2008, 08:49 PM
Walianza kushika kambale sasa naona wameanza kushika dagaa, Papa watashikwa lini?

Hujui ni ze comedy?