mwanakijiji
12-18-2008, 09:10 AM
Kwa wiki kadhaa nimekuwa nikijiuliza ni kwanini Masha alienda Keko the next day baada ya kina Mramba kupelekwa kule? Majibu ya awali hayakuwa na maana.. Wengine hilo lilikuwa ni jambo dogo tu na lisilo na msingi... lakini kwetu sisi tunajaribu kwenda kule ambako wengine hata hawafikiririi...
Katika "kutafuta tafuta" kwetu... tukapata nafasi ya kuujua ukweli.. kilichompeleka Masha Keko siku ya pili baada ya kina Mramba na Yona kupelekwa huko ni...... (Soma Cheche wiki ijayo..unless yeye mwenyewe aamue kusema ukweli).....