mwanakijiji
12-22-2008, 09:09 AM
Uchunguzi wa wizi wa fedha za EPA na wizi mwingine uliofanyika Benki Kuu unaonesha kuwa ni karibu ya robo ya watuhumiwa ndio wamepandishwa kizimbani na kushtakiwa kwa makosa ambayo kimsingi siyo mazito zaidi ya yale wanayodaiwa kufanya. Kama mtu akiingia ndani ya nyumba akavunja mlango, kuua mlinzi, kuharibu mali nyingine na kwenda ndani na kuiba nguo, itakuwa ni maajabu sana akifikishwa mahakamani kwa kosa la kuiba nguo!
Hicho ndicho kilichofanyika hadi sasa!!
usikose "Cheche" Jumanne!
Hicho ndicho kilichofanyika hadi sasa!!
usikose "Cheche" Jumanne!