PDA

View Full Version : wageni wetu

mwanakijiji
12-23-2008, 06:48 PM
tumeendelea kupata wageni wengi tu tunakaribia wanachama wapya 500 hivi.. jamani hata salamu kijijini?

duru langu
12-25-2008, 03:22 AM
Bora salama.
Naona wamekuta mlango wazi nao wameingia pasi shari.
Karibuni sana wageni wetu.

Mpita Njia
12-27-2008, 02:30 PM
Wengine ndio tabia zao hizo, hawasalimii hata kwao

My more
12-29-2008, 03:24 AM
Wengine ndio tabia zao hizo, hawasalimii hata kwao

Mhh naona mpitanjia umeamua kusoma alphabets, you can miss a word lazima upate 100% for this . hongera

mwafrika wa kike
12-30-2008, 06:15 AM
Wengine ndio tabia zao hizo, hawasalimii hata kwao

kwi kwi kwi .... yaani sina mbavu hapa. Kwani nyumbani unasalimia nani tena? Hapa US unakuwa umeongea (au kutext) zaidi ya mara kumi na wazazi wako kabla hujarudi nyumbani so ukishafika wewe huyoooo kwenda room kwako - hakuna salamu wala nini

mwanakijiji
12-30-2008, 06:34 AM
Wengine ndio tabia zao hizo, hawasalimii hata kwao

Hii itakuwa ni best quote hapa.. sikuiona ila nimecheka si utani!

My more
01-01-2009, 01:51 AM
Hii itakuwa ni best quote hapa.. sikuiona ila nimecheka si utani!

Imekukumbusha enzi eee? Kweli ujana maji ya moto:)

Matigari
01-12-2009, 07:10 PM
Greetings oh beloved members. I have been here for a while but negletected to greet you guys, so.

jambo, mughonile, shimboni murewedi, mihanyenye, kamwene, hamwene, mukhonile, wachasugu, salama, tasibota, masibota, mwangaluka, mlaileani, kasumulu, dumela, maskati, sakubona na mwishowe marahaba.

I hope I am forgiven for my rudeness believe me I was brought better than this.
Ok lets go to work

Matigari.

mwanakijiji
01-12-2009, 11:24 PM

duh!! hii itabidi kuingia katika rekodi ya salamu zenye mjumuisho mkubwa kabisa; sasa yale makabila mengine 102... ?

Well kwa niaba yao tunasema karibu na ujisikie uko kijijini, mahali ambapo yote yanazungumzika..