PDA

View Full Version : Hakikisha una "confirm" email yako!

mwanakijiji
12-27-2008, 06:29 PM
Mara nyingi tumekuwa tukipata matatizo watu wanapojiandikisha wanataka kuanza kuchangia mara moja na wanaanza kujikuta hawana "access". Mara baada ya kujiandikisha tunakutumia link kwenye email uliyotumia ili uthibitishe ni wewe ndiye uliyejiandikisha. Hii inatusaidia kuzuia spammers!

HIvyo hakikisha kabla ya kuanza kuhangaika kupost umeingia kwenye mailbox yako na ufuate hiyo link kuthibitisha kujiandikisha kwako!

M. M. for Admins..

Dua
12-28-2008, 09:51 PM
Hodi hodi Ukumbini! Mwanakijiji kazi nzuri. WTZ kazi kwetu.

My more
12-29-2008, 03:17 AM
Hodi hodi Ukumbini! Mwanakijiji kazi nzuri. WTZ kazi kwetu.

Karibu sana Dua. Njoo na ma-dua yote tuikwamue TZA.

Mpita Njia
12-29-2008, 04:09 PM
Si unaweza kututmia cheche kwenye email zetu hizohizo? Mi wkangu halifiki

mwanakijiji
12-29-2008, 06:23 PM
Si unaweza kututmia cheche kwenye email zetu hizohizo? Mi wkangu halifiki

Duh unajua hilo wazo zuri, itabidi tuangaliie kama kuna urahisi wa kutumia email hizo namna hiyo. Tatizo hadi mtu aconfirm email ndiyo angalau tunajua email inafanya kazi, kuna watu wengine wanajiandikisha kwa fake emails. Vinginevyo ni rahisi mtu akiandioka kwa mhariri@klhnews.com ambapo anaweza kuingizwa kwenye mailing list ya Cheche kwa urahisi.

mwafrika wa kike
12-30-2008, 06:12 AM
Hodi hodi Ukumbini! Mwanakijiji kazi nzuri. WTZ kazi kwetu.

Dua,

Karibu sana ukumbini..... hata mimi bado nashangaa jinsi mwanakijiji na crew wanavyotengeneza mambo hapa.

mwanakijiji
12-30-2008, 06:33 AM
Dua,

Karibu sana ukumbini..... hata mimi bado nashangaa jinsi mwanakijiji na crew wanavyotengeneza mambo hapa.

bi mdogo.. mwendo wa 2009 is bigger, bolder and more daring.. tuko katika kujipanga!!

Dua
12-31-2008, 12:29 AM
Thanks all huu ni mwaka ambao mbivu lazima zionekane kwani mwakani asiye na mwana aeleke jiwe. Tuendelee na wasanii au tuwatoe mkuku.