View Full Version : Sheria ya Kuhujumu Uchumi ya 1984
mwanakijiji
11-07-2008, 05:52 PM
Mojawapo ya sheria ambazo zingezingatiwa kweli ingekuwa ni nyenzo nzuri ya kupambana na ufisadi. Sheria hii ilifanyiwa mabadiliko muhimu baadaye.

Mzee afadhari umeweka nyenzo tuendelee kujikumbusha na kunyambulisha. Ngoja niingie darasa hapa la utu uzimani.
mugerezi
03-18-2009, 11:05 AM
Mimi ni member mpya kwenye forum hii lakini kwakweli nimekuta nyenzo ambazo mtu ukipitia unapata uelewa mkubwa wa vitu. Huku Tz kupata hizi sheria ni ngumu kidogo huwa jamaa wanakuwa wagumu. Hivyo mfano katiba nilipata moja kutoka kwa mdogo wangu amemaliza sheria. Kwa upande wangu nashukuru kwa kutuwekea hii kitu. Thanx alot
mwanakijiji
03-18-2009, 04:35 PM

Hamna neno kabisa Mugerezi na tunashukuru kuendelea kuwa pamoja nasi.
Hii sheria inaozea kwenye makabati wakati akina EL, Mramba, Che-nkapa na kundi lote la mafisadi wanabembea tu bila kuona meno ya hii sheria. WHY?
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.