PDA

View Full Version : Maimartha kama "mdoli"?



Mr. XXX
01-02-2009, 07:08 PM
http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/thumbs/1230897849_img_0395.jpg

Imeandikwa kwenye global publishers


Mtangazaji wa kituo cha Luninga cha East Africa (EATV) cha Jijini Dar es Salaam, Maimartha Jesey akionekana katika pozi la kiana. Baadhi ya wadau waliponda kuwa kwa jinsi alivyo hivi sasa, hasa kutokana na kujichubua kwa vipodozi na pozi aliloweka anaonekana kama mdoli.

yawezekana kuwa anatumia poda vibaya? mbona miye naona anapendeza tu, yuko bomba kichizi hasa hizo boots zake. Halafu ana usafiri wa nguvu tu.

zhukovski, Odessa
01-06-2009, 03:51 PM
Too much make up! will be okay kama mtu anakuwa natural, I always think huyu demu anakuwaje bila make up akiamka asubuhi?

mwanakijiji
01-06-2009, 04:57 PM
Too much make up! will be okay kama mtu anakuwa natural, I always think huyu demu anakuwaje bila make up akiamka asubuhi?

inawezekana anajiogopa kujiangalia bila make up? lakini pia yawezekana aina ya powder anayotumia kwanini iwe ni ile inayoufanya uso kuwa mweupe zaidi?

ROY G BIV
01-23-2009, 08:22 AM
Huyu dada alikuwa mweusi kabisa. Nashangaa weupe kautoa wapi. Ni vipodozi tu au kuna namna nyingine?