PDA

View Full Version : Hodi, naitwa otingocni

otingocni
01-03-2009, 06:22 AM
Nimetokea kijiji kimoja kinaitwa Gumzo!

My more
01-03-2009, 06:32 AM
Nimetokea kijiji kimoja kinaitwa Gumzo!

Hee karibu sana jirani za huko? karibia kijijjini wenyeji kibao na wewe ukiwa mmoja wao:cool:

QUTE
01-03-2009, 06:46 PM
HAPPY NEW YEAR wanakijiji, naitwa QUTE nimefurahi kuwa mwanakijiji mpya japo sio mpya sana nilikuwepo kuwepo

mwanakijiji
01-03-2009, 07:20 PM
Nimetokea kijiji kimoja kinaitwa Gumzo!

Otingocni.. yaani kupotea kote kule.. duh.. karibu kijiji kipya kwani... nimefurahi kukuona!!! Happy new year!

mwanakijiji
01-03-2009, 07:21 PM
HAPPY NEW YEAR wanakijiji, naitwa QUTE nimefurahi kuwa mwanakijiji mpya japo sio mpya sana nilikuwepo kuwepo

Happy New year to you Qute.. karibu kijijini; tumefurahia kubisha hodi unatoka soda, togwa, mbege au maji?

duru langu
01-03-2009, 09:21 PM
Karibuni Otingocni na Qute tujenge taifa.

My more
01-03-2009, 10:24 PM
HAPPY NEW YEAR wanakijiji, naitwa QUTE nimefurahi kuwa mwanakijiji mpya japo sio mpya sana nilikuwepo kuwepo

Dalili nzuri maana kama ulishakuwepo kuwepo, ina maana sas hivi upo at full blast!! karibia mwee ujisikie vizuri jamvini.