PDA

View Full Version : Marafiki wa Gumzo mko wapi?

mwanakijiji
01-06-2009, 09:54 PM
Jamani leo nimewakumbuka marafiki wa gumzo! mko wapi? Nimewaona wachache Lemunyake, Otingctoni, My More wengine mmejificha wapi; tunawamiss kijijini!

My more
01-07-2009, 04:12 AM
Jamani leo nimewakumbuka marafiki wa gumzo! mko wapi? Nimewaona wachache Lemunyake, Otingctoni, My More wengine mmejificha wapi; tunawamiss kijijini!

Umemsahau Duru langu

Steve Dii
01-07-2009, 06:19 AM
... miye Gumzo nimeisikia sikia tu kwenye gumzo siku za karibuni, sikuwa na gumzo huko... nyie kweli wazee sasa na mmetoka mbali sana yaonekana. huchelewi kukuta miye nilikuwa na miaka miwili tu wakati mnatundika posts huko kwenye Gumzo!! :)

duru langu
01-07-2009, 09:47 PM
Umemsahau Duru langu

amemsahau wapi duru wako?:p kumbe umesema duru langu:D

otingocni
01-08-2009, 03:22 AM
Tunawasubiri waje wote, kina macho2, loveat1stsight, gladmore, mchonga nk labda wapo kwa majina mengine.

My more
01-08-2009, 05:06 AM
Tunawasubiri waje wote, kina macho2, loveat1stsight, gladmore, mchonga nk labda wapo kwa majina mengine.

Mhhhh Oti sijamuona Love ina wengine nahisi bado wamevaa nguo za X-mass ndio maana hujawatambua, subiri wazipeleke nguo zao josho, hutapata tabu kuwajua hata

My more
01-08-2009, 05:09 AM
... miye Gumzo nimeisikia sikia tu kwenye gumzo siku za karibuni, sikuwa na gumzo huko... nyie kweli wazee sasa na mmetoka mbali sana yaonekana. huchelewi kukuta miye nilikuwa na miaka miwili tu wakati mnatundika posts huko kwenye Gumzo!! :)

Usijali SteveD, saa hizi na wewe umeshatoshea ukishavuka tu 18, ruksa kugumzo, Mwakjj anaogopa kuingia ila atakuonyesha mlango.

mwanakijiji
01-08-2009, 10:18 AM
labda itabidi niwakumbushe tena.. !

My more
01-09-2009, 03:24 AM
labda itabidi niwakumbushe tena.. !

kweli tafadhari wakumbushe. Sijamuona SteveD wala Oti kule

My more
01-09-2009, 03:27 AM
amemsahau wapi duru wako?:p kumbe umesema duru langu:D

Vipi ilikuwa bado haija-click?

mwanakijiji
01-09-2009, 09:36 PM
kwani "duru" ni nini?

duru langu
01-10-2009, 03:17 AM
Vipi ilikuwa bado haija-click?

haija-click nini tena:confused:

duru langu
01-10-2009, 03:18 AM
kwani "duru" ni nini?

yaelekea my more analojibu:D

My more
01-10-2009, 04:49 AM
yaelekea my more analojibu:D

Ushaanza Duru, unanitafuta gemu mkavu mkavu, We haya wee!!