View Full Version : Hodi Jamani!
Hodi waungwana,mie ndo simba wa yuda....wenyewe mpooo?? Nipitie mlango gani,wa mbele au wa nyuma..?
outlier
01-10-2009, 02:30 PM
Hodi waungwana,mie ndo simba wa yuda....wenyewe mpooo?? Nipitie mlango gani,wa mbele au wa nyuma..?
umekuwa bwa-chuchu? mgeni utaingiliaje nyuma?
makange
01-10-2009, 04:17 PM
umekuwa bwa-chuchu? mgeni utaingiliaje nyuma?
ahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa
mwanakijiji
01-10-2009, 07:46 PM
Hodi waungwana,mie ndo simba wa yuda....wenyewe mpooo?? Nipitie mlango gani,wa mbele au wa nyuma..?
mmh.. mbona unatutega tena. we njoo mchana kweupe tena mlango wa mbele na kamba yako mguuni; hayo ya kuingilia mlango wa nyuma ukiitiwa "mwizi" usishtuke.. well.. ni simba wa yuda so nadhani utakuwa salama..
karibu kijijini!
My more
01-10-2009, 10:45 PM
Hodi waungwana,mie ndo simba wa yuda....wenyewe mpooo?? Nipitie mlango gani,wa mbele au wa nyuma..?
Tayari umeshauona hata mlango wa nyuma? mmmh basi weye si mgeni. karibia uingilie popote ila hala hala mti na macho, usilete madhara tu.
Ach-F
01-11-2009, 01:09 AM
Karibuni wageni wote kwa mpigo ndio 2009, January ndio imekwisha tena hivyo mipango yote sasa ni February. Karibuni tuone kama kweli hatuwezi kubadili mwelekeo wa watawala ambao wanakula pesa ya walipa kodi kama vile ina alama tangu walipozaliwa.
Steve Dii
01-11-2009, 02:29 AM
..... aaah, mngemwambia aingilie kupitia kwenye chimney (kifuka moshi) kama santa vile... :)
Waungwana nawashukuru kwa ukarimu wenu,nimeshakaribia na nimepitia dirishani..shukrani za pekee kwa mwenyekijiji kwa kunikaribisha mpaka chumbani....mambo kwa room bwana,nimechanganyikiwa na mauwa ridi niliyoyakuta humo....
duru langu
01-11-2009, 08:55 PM
Karibu zion. Usichanganyikiwe na vijimambo vya chumbani
mambo yakizidi wewe toka baruti na ingia chumba kingine
Karibu zion. Usichanganyikiwe na vijimambo vya chumbani
mambo yakizidi wewe toka baruti na ingia chumba kingine
Ha ha ha....asante kwa ushauri!
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.