PDA

View Full Version : senior expert membership

outlier
01-10-2009, 02:36 PM
Mwenyekiti wa kijiji nakuuliza ni kanuni gani zinatumika ku-aasighn 'titles' za wanakijiji?
Kwa mfano, mi kuwa junior member ni kwa nini? why? Nami natamani kuwa senior expert member!
Hapo vipi?

mwanakijiji
01-10-2009, 07:41 PM
Outlier, zaidi ni idadi ya michango.... huko mbeleni tutafikiri namna ya kuwatambua zaidi wanachama wetu kwa namna nyingine nzuri zaidi. Nitamuomba Administrator labda aweke different levels za membership na idadi yake ya posting ili kuweze kuzifikia.

outlier
01-11-2009, 01:10 AM

Duh! Nimekuelewa, kama u-prof wa udsm, nondo (paper) 10 kwanza! hhaa hhaaa..

ponda
01-22-2009, 02:59 PM
naomba kuwa modereta na admin pia

eeh nilidhani tayari wewe ni moderator, mbona posting zako mara unaonekana Junior wakati mwingine admin?

kama posting zako bado junior sijui mimi nitafika lini.

MSAADA, nikitaka kufanya posting mpya nafanyaje? sijaona option hiyo.

mwanakijiji
01-22-2009, 04:48 PM

Ponda, Mzee Mwanakjj, siyo mimi ni mhuni mmoja hivi ambaye tumeamua kumshughulikia hapa.

outlier
01-22-2009, 08:22 PM
Ponda, Mzee Mwanakjj, siyo mimi ni mhuni mmoja hivi ambaye tumeamua kumshughulikia hapa.

Mnamshughulikiaje? Msije mkawa mnamfungia! Kwa sababu majina yanafanana;
mwanakijiji
mzee mwanakijiji
mzee mwanakjj
inawezekana na inafaa kabisa kuwa watu watatu tofauti, au mtu mmoja. ila haisumbui.

mfumwa
01-22-2009, 10:30 PM
Mwenyekiti wa kijiji nakuuliza ni kanuni gani zinatumika ku-aasighn 'titles' za wanakijiji? Kwa mfano, mi kuwa junior member ni kwa nini? why? Nami natamani kuwa senior expert member! Hapo vipi?

Mkuu una haraka, unataka tembea kabla hujatambaa hata kusimama. Taratibu utafikia status ya Senior Expert Member.

mwanakijiji
01-22-2009, 11:16 PM
Mnamshughulikiaje? Msije mkawa mnamfungia! Kwa sababu majina yanafanana;
mwanakijiji
mzee mwanakijiji
mzee mwanakjj
inawezekana na inafaa kabisa kuwa watu watatu tofauti, au mtu mmoja. ila haisumbui.

outlier angalia jibu langu kule kwenye ticket counter.. huyu tumemfungia, na sababu siyo ya kufanana majina kwani alipojiunga tuliona na hatukufanya lolote hadi alipoanza kupost ndipo tukaelewa lengo lake.

MAHESABU
09-23-2010, 11:15 PM
Alikuwa na lengo gani huyo?