mwanakijiji
01-13-2009, 12:14 AM
Wapendwa wanakijiji, bila ya shaka utakuwa umeona tofauti katika ukurasa huu hasa kwenye logo. Tuko kwenye utaratibu wa kuanza kuroll out vikolombwezo mbalimbali ambavyo vitakufanya uone fahari kuwa kijijini hapa kuliko kwenda mjini! Siku chache zijazo tutawawekea mahali pa kuweka picha zenu za mambo mbalimbali na utakuwa na uhuru wote wa kusimamia picha hizo, kinyume na tovuti nyinginee utakuwa na uhuru wa kuruhusu watu watolee maoni au wasitolee maoni n.k
Lakini zaidi tunataka pawe mahali ambapo watu watakuwa salama katika picha zao na kwa vile tuko US sheria za nchi hii kuhusu mambo ya usalama wa kwenye mtandao (cyber laws) zipo na tutazikimbilia wakati wowote kuna tatizo, to the full extent of the law. Hata hivyo tunatarajia zaidi kuwa na picha za matukio mbalimbali.
Hivyo, ingawa ukurasa wa mwanzo sasa hivi uko kwenye Forum, ukurasa wa mbele wa tovuti (home page) inabakia pale pale na habari zinaendelea kutiririka kama kawaida. Hivyo ukiwa kwenye forum usisite kutembelea "home" page kwani yaweza kuwa na vitu ambavyo havipo huku kwenye forum.
All breaking news, zitakuwa zinapatikana kwa kawaida ukurasa ule wa mbele na hapa, lakini habari nyingi zaidi zitakuwa zinapatikana huko kwenye ukurasa wa nyumbani.
Na yote haya yanakuja kwako bureeeeee!!