View Full Version : Tanzania yaichapa Rwanda
mwanakijiji
01-13-2009, 06:29 PM
Habari ni kuwa Tanzania imeshika nafasi ya tatu katika mashindano ya Challengi baadaya kuichapa Rwanda magoli 3 kwa mawili..
outlier
01-13-2009, 09:13 PM
Habari ni kuwa Tanzania imeshika nafasi ya tatu katika mashindano ya Challengi baadaya kuichapa Rwanda magoli 3 kwa mawili..
Bongo tunazidi ku-improve eeeh! Hongera!
Ach-F
01-13-2009, 10:48 PM
Hii ni aibu tu, huyo Maximo sijui wanamuendekeza vipi wakati kazi imemshinda. Hakuna mahali popote watakayemuajiri huyo kocha bali Tanzania kwenye shamba la bibi. Tena sio ajabu anakula pesa za EPA huyo!
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.