PDA

View Full Version : Here I am

Mpita Njia
11-09-2008, 11:28 AM
Tofauti na jina langu, hapa sikuja kupita njia, mtarajie kuwa tukuwa sote, always, till the end

mwanakijiji
11-09-2008, 10:23 PM
karibu sana Mpita Njia.. katika pita pita yako usisite kutuletea habari za huko utokako!

Kepa
11-11-2008, 08:57 PM
Tofauti na jina langu, hapa sikuja kupita njia, mtarajie kuwa tukuwa sote, always, till the end

Hapo umenena. Karibu utulie.