View Full Version : Amos Makala naye!!!!
pangamawe
01-18-2009, 12:36 PM
Nimesoma kwenye jamii forum eti Makalla amfunika murad, ni habari ambayo nimeshindwa kuelewa ina maana gani. nadhani habari hiyo imeandikwa kama si na Makala mwenyewe basi mpambe wake.
Ninavyomjua Makala wananchi wa Mvomero wasitegemee mabadiliko yoyote ya maana ikiwa watamchagua Makala kuwa mbunge wao. Makala hana tofauti yoyote na Murad tofauti pekee ninayoiona ni tamaa kubwa ya madaraka aliyonayo Makala.
Makala hana uwezo kafika hapo alipofika kwa sababu chama anachokitumikia kimechoka na hakihitaji bongo inayochemka ndiyo maana watu wachovu kama akina Makala wana fit humo. Makala ametajwa kama msomi, muadilifu na mchapakazi, nataka kujadili hili la uchapakazi na uadilifu. Ninavyoelewa mimi usomi si wingi wa vyeti ambavyo vinaweza kuwa vya kughushi au kudesa bali ni uwezo wa kuelewa, kuchambua mambo na kutafsiri katika mazingira aliyomo huyo anayeweza kuitwa msomi. Makala hana uwezo huo hivyo kumuita msomi ni kumuonea hana jipya Makala sioni tofauti kati yake na bosi wake Makamba. Makala ambaye alikwenda nje hivi karibuni kusoma english course unawezaje kumuita msomi, kwamba kajitathmini akagundua kuwa alikuwa anapungukiwa na maarifa katika lugha ya kiingereza.
Pia nimeshangazwa na hoja ya HABARI NDIYO HIYO kuwa eti Makala ni muadilifu hili nalipinga kwa nguvu zote. Makala si mwadilifu hata kidogo endapo tunazingatia maana halisi ya neno uadilifu, ana utitiri wa vimada. Ni mzinzi wa kupindukia asiyeheshimu ndoa za watu nina maana anaingilia ndoa za watu ikiwamo ya mbunge mmoja hivyo hastahili kuitwa mwadilifu na kuwa kiongozi vilevile. Hili nitalifafanua endapo yeye mwenyewe Makala au wapambe wake watanitaka nifanye hivyo
duru langu
01-18-2009, 08:57 PM

Mambo ya ubunge hayo!
Sasa mimi nisiyekuwa mpambe wa Makala nikikuomba ufafanue kuhusu masuala
ya uadili wa Makala hutafanya hivyo?
Mkongwe
01-19-2009, 08:57 AM
Pangamawe ameongea vitu muhimu sana kuhusu huyu mtu Makala. Amos ni womanizer tena mpenda mke za watu. picha na video clips tunazo. Wakati ukifika tutaweka hadharani ikibidi. Naambiwa mtu huyu anajiita msomi mwenye CPA! Cha ajabu mtu huyu ameanza kupata CPA kabla ya kujua kiingereza. He went to the US to learn english while already he was a leader in CCM. Kwa siasa za bongo usishangae kuona huyu anaitwa Dr. Amos Makala.
mfumwa
01-19-2009, 11:52 AM
Makala ambaye alikwenda nje hivi karibuni kusoma english course unawezaje kumuita msomi, kwamba kajitathmini akagundua kuwa alikuwa anapungukiwa na maarifa katika lugha ya kiingereza.
Pia nimeshangazwa na hoja ya HABARI NDIYO HIYO kuwa eti Makala ni muadilifu hili nalipinga kwa nguvu zote. Makala si mwadilifu hata kidogo endapo tunazingatia maana halisi ya neno uadilifu, ana utitiri wa vimada. Ni mzinzi wa kupindukia asiyeheshimu ndoa za watu nina maana anaingilia ndoa za watu ikiwamo ya mbunge mmoja hivyo hastahili kuitwa mwadilifu na kuwa kiongozi vilevile. Hili nitalifafanua endapo yeye mwenyewe Makala au wapambe wake watanitaka nifanye hivyo
Pangamawe, kujua Kiingereza sio usomi. Waweza usijue kiingereza na uwe msomi. Bali lakini unaweza kuwa umesoma, lakini hujaelimika. Kwa hiyo makala kutojua Kiingereza mpaka aende USA kujifunza hakumuondolei usomi wake. Wachna, wajapan nk hutumia lugha zao, lakini ni wasomi. Kuhusu kama kweli anaingilia ndoa za watu, huyo hafai kabisa kuwa kiongozi, hapo nakuunga mkono.
pangamawe
01-19-2009, 01:32 PM
Mfumwa nakubaliana na wewe kujua kiingereza si usomi, nakubaliana nawe kabisa kuwa kuna wasomi wazuri sana wa kichina na kijapani wasiojua kiingereza na hawana haja ya kujua kiingereza. Lakini kwa mfumo wa elimu wa Tanzania ambao "msomi" Makalla kapitia lugha ya kiingereza ni part and parcel ya mfumo wenyewe kwakuwa lugha hiyo ndiyo medium of instruction kuanzia sekondari mpaka elimu ya juu, hivyo Makalla anatarajiwa kuwa kaitumia lugha hiyo kuanzia sekondari mpaka "elimu ya juu". Makalla lugha hiyo inamsumbua sana ndiyo maana aliamua kutafuta kozi ya lugha hiyo ughaibuni,kozi ambayo angeweza kuipata hapo hapo Dar ambako kuna english course centres nyingi tu Sinza na Veta ambako angekutana na instructors wa kibongo ambao wangemsaidia zaidi kuliko hao wa ughaibuni. Sasa la kujiuliza katika mazingira hayo Makalla kapita vipi hapo IFM na kwingineko? na sitashangaa nikisikia kesho akiitwa Dr Makalla maana vihiyo kama yeye wenye hizo Phd feki kwenye chama chake wapo wa kumwaga, kukutajia wachache Nchimbi,Kamala,Karume,Mzindakaya, Sigonda, Mathayo n.k Makala ni mchovu tu heaven yake haipo popote pengine zaidi ya kwenye CCM ya Makamba. Ila hili la uzinifu wa kupindukia nasubiri reaction ya HABARI NDIYO HIYO na/au Makalla mwenyewe nimwage mchele hadharani.
mwanakijiji
01-19-2009, 04:32 PM
Nimesoma kwenye jamii forum eti Makalla amfunika murad, ni habari ambayo nimeshindwa kuelewa ina maana gani. nadhani habari hiyo imeandikwa kama si na Makala mwenyewe basi mpambe wake.
Ninavyomjua Makala wananchi wa Mvomero wasitegemee mabadiliko yoyote ya maana ikiwa watamchagua Makala kuwa mbunge wao. Makala hana tofauti yoyote na Murad tofauti pekee ninayoiona ni tamaa kubwa ya madaraka aliyonayo Makala.
Makala hana uwezo kafika hapo alipofika kwa sababu chama anachokitumikia kimechoka na hakihitaji bongo inayochemka ndiyo maana watu wachovu kama akina Makala wana fit humo. Makala ametajwa kama msomi, muadilifu na mchapakazi, nataka kujadili hili la uchapakazi na uadilifu. Ninavyoelewa mimi usomi si wingi wa vyeti ambavyo vinaweza kuwa vya kughushi au kudesa bali ni uwezo wa kuelewa, kuchambua mambo na kutafsiri katika mazingira aliyomo huyo anayeweza kuitwa msomi. Makala hana uwezo huo hivyo kumuita msomi ni kumuonea hana jipya Makala sioni tofauti kati yake na bosi wake Makamba. Makala ambaye alikwenda nje hivi karibuni kusoma english course unawezaje kumuita msomi, kwamba kajitathmini akagundua kuwa alikuwa anapungukiwa na maarifa katika lugha ya kiingereza.
Pia nimeshangazwa na hoja ya HABARI NDIYO HIYO kuwa eti Makala ni muadilifu hili nalipinga kwa nguvu zote. Makala si mwadilifu hata kidogo endapo tunazingatia maana halisi ya neno uadilifu, ana utitiri wa vimada. Ni mzinzi wa kupindukia asiyeheshimu ndoa za watu nina maana anaingilia ndoa za watu ikiwamo ya mbunge mmoja hivyo hastahili kuitwa mwadilifu na kuwa kiongozi vilevile. Hili nitalifafanua endapo yeye mwenyewe Makala au wapambe wake watanitaka nifanye hivyo
duh.. haya sasa makubwa. Nilipoiona ile makala ya kumsifia Makala nilijiuliza hata upambe haufichiki tena!
mfumwa
01-20-2009, 06:53 AM
Mfumwa nakubaliana na wewe kujua kiingereza si usomi, nakubaliana nawe kabisa kuwa kuna wasomi wazuri sana wa kichina na kijapani wasiojua kiingereza na hawana haja ya kujua kiingereza. Lakini kwa mfumo wa elimu wa Tanzania ambao "msomi" Makalla kapitia lugha ya kiingereza ni part and parcel ya mfumo wenyewe kwakuwa lugha hiyo ndiyo medium of instruction kuanzia sekondari mpaka elimu ya juu, hivyo Makalla anatarajiwa kuwa kaitumia lugha hiyo kuanzia sekondari mpaka "elimu ya juu". Makalla lugha hiyo inamsumbua sana ndiyo maana aliamua kutafuta kozi ya lugha hiyo ughaibuni,kozi ambayo angeweza kuipata hapo hapo Dar ambako kuna english course centres nyingi tu Sinza na Veta ambako angekutana na instructors wa kibongo ambao wangemsaidia zaidi kuliko hao wa ughaibuni. Sasa la kujiuliza katika mazingira hayo Makalla kapita vipi hapo IFM na kwingineko? na sitashangaa nikisikia kesho akiitwa Dr Makalla maana vihiyo kama yeye wenye hizo Phd feki kwenye chama chake wapo wa kumwaga, kukutajia wachache Nchimbi,Kamala,Karume,Mzindakaya, Sigonda, Mathayo n.k Makala ni mchovu tu heaven yake haipo popote pengine zaidi ya kwenye CCM ya Makamba. Ila hili la uzinifu wa kupindukia nasubiri reaction ya HABARI NDIYO HIYO na/au Makalla mwenyewe nimwage mchele hadharani.
Pangamawe, nimekubali. Kwa TZ kuwa Dr. siku hizi inakuwa dili, tunaelekea kuwa wanigeria sasa. Kila mtu anataka kujiita Dr. (Nelson, Liki nk) ama Prof. (Majimarefu). Hivyo sitashangaa kuwa Makalla sasa yuko shule. Huenda akafuata nyayo za Nchimbi manake walisoma pamoja wakati huo wazazi wao wakiwa waalimu. Wanajuana sana hawa jamaa.
ponda
01-20-2009, 11:30 AM
Mfumwa nakubaliana na wewe kujua kiingereza si usomi, nakubaliana nawe kabisa kuwa kuna wasomi wazuri sana wa kichina na kijapani wasiojua kiingereza na hawana haja ya kujua kiingereza. Lakini kwa mfumo wa elimu wa Tanzania ambao "msomi" Makalla kapitia lugha ya kiingereza ni part and parcel ya mfumo wenyewe kwakuwa lugha hiyo ndiyo medium of instruction kuanzia sekondari mpaka elimu ya juu, hivyo Makalla anatarajiwa kuwa kaitumia lugha hiyo kuanzia sekondari mpaka "elimu ya juu". Makalla lugha hiyo inamsumbua sana ndiyo maana aliamua kutafuta kozi ya lugha hiyo ughaibuni,kozi ambayo angeweza kuipata hapo hapo Dar ambako kuna english course centres nyingi tu Sinza na Veta ambako angekutana na instructors wa kibongo ambao wangemsaidia zaidi kuliko hao wa ughaibuni. Sasa la kujiuliza katika mazingira hayo Makalla kapita vipi hapo IFM na kwingineko? na sitashangaa nikisikia kesho akiitwa Dr Makalla maana vihiyo kama yeye wenye hizo Phd feki kwenye chama chake wapo wa kumwaga, kukutajia wachache Nchimbi,Kamala,Karume,Mzindakaya, Sigonda, Mathayo n.k Makala ni mchovu tu heaven yake haipo popote pengine zaidi ya kwenye CCM ya Makamba. Ila hili la uzinifu wa kupindukia nasubiri reaction ya HABARI NDIYO HIYO na/au Makalla mwenyewe nimwage mchele hadharani.
kwa elimu ya tanzania ya kukaririshwa na kutumia madesa sio kitu cha ajabu mtu kuwa CPA na bado lugha ikampa matatizo, option ya kujifunzia ughaibuni ni ya binafsi kwani tumewaona wengi wanaoenda kusoma nje wakati hapa zipo shule zinazotoa elimu kama ile. nashawishika kusema kuwa kama ni lugha ni vizuri uende kule kule machimboni kwani hata interaction za watu waliokuzunguka zitakuwa ni katika liugha hiyo hiyo kujifunza kwa kuongea ina add value.
Mkongwe
01-21-2009, 12:21 AM
Kuna mtu anafahamu mahusiano kati ya amos makala na Jenister Mhagama?
Mpita Njia
01-21-2009, 02:58 PM
Kuna mtu anafahamu mahusiano kati ya amos makala na Jenister Mhagama?
Mimi binafsi siufahamu, wala sikuwa najua kuwa wana uhusiano fulani. kama unajua chochote mkuu ebu mwaga maneno
pangamawe
01-22-2009, 03:34 PM
Mkongwe mimi naufahamu sana uhusiano uliopo kati ya hao watu wawili. Kama nilivyoeleza awali nayajua mengi machafu yanayomhusu huyu. Makalla lakini nilitaka kwanza nipate reaction yake au ya Habari ndiyo hiyo, lakini kwakuwa Mkongwe kauliza sina budi kuchangia japo kiduchu. Ni kweli makalla na jenister mhagama wana uhusiano wa kimapenzi muda mrefu tu, ni jambo la kuhuzunisha mwanamke huyu mwenye ndoa yake na mwakilishi wa wananchi yaani mbunge anafanya ufuska na makalla. Huyu jenister mhagama ni mbunge wa peramiho akiwa amechukua kiti kilichokuwa kinashikiliwa na msomi aliyetutuka (siyo makalla) prof. simon mbilinyi, kajisahau kabisa kwamba kaolewa na ni mtu mwenye dhamana kama mbunge pia ni mwenyekiti wa moja ya kamati za bunge, shame on her! Hotel wanayofanyia majambozi morogoro inafahamika.
mfumwa
01-22-2009, 10:27 PM
Kama nilivyoeleza awali nayajua mengi machafu yanayomhusu huyu fala Makalla lakini nilitaka kwanza nipate reaction yake au ya Habari ndiyo hiyo, lakini kwakuwa Mkongwe kauliza sina budi kuchangia japo kiduchu.
Mkuu Pangamawe, tumia lugha laini hata kama unaongelea mabaya ya mtu. Haina haja kumtukana japo anafanya mabaya.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.