View Full Version : Usikose "Cheche" wiki hii..
mwanakijiji
01-19-2009, 09:46 AM
Siwezi kukuambia kilichomo but wiki hii we will set the standard!!! Ningekuwa mimi serikali nisingetoa fedha kwa ATCL hadi nisome "Cheche"!!!! Kama unataka kikufikie in the privacy of your email.. jiandikishe kupitia mhariri@klhnews.com
Mapambano
01-21-2009, 12:51 AM
Siwezi kukuambia kilichomo but wiki hii we will set the standard!!! Ningekuwa mimi serikali nisingetoa fedha kwa ATCL hadi nisome "Cheche"!!!! Kama unataka kikufikie in the privacy of your email.. jiandikishe kupitia mhariri@klhnews.com
vp tena? tunajoin forum sasa we shud communicate thru email? come on man
mwanakijiji
01-21-2009, 02:10 AM
vp tena? tunajoin forum sasa we shud communicate thru email? come on man
mapambano ukishajiunga forum unaweza kukipata kwenye eneo la Kijarida. Hata hivyo kuna wengine hawana muda mrefu wa kukaa kwenye forum au for whatever reason wanashindwa kuwa na access ya forum wanapotaka. Sasa ukiwa umejiandikisha kwenye email, basi kijarida pia kinakufikia moja kwa moja kwenye email yako.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.