PDA

View Full Version : mtoto..kaniumbua...



mwanakijiji
01-19-2009, 07:14 PM
mtoto wa shemeji yangu, binamu yake na babu ambaye wamezaliwa tumbo moja na shangazi ya baba mkubwa kwa upande wa binamu zangu amepeleka shulani habari hii fupi akiwa na lengo la kuzunngumzia "farasi".. or horse... sasa kwa vile ni mtoto wa kiume..

http://www.mwanakijiji.com/images/stories/habari/other/mwanangukaniumbua.jpg

Matigari
03-20-2010, 01:44 AM
That is a good one. Hahahaha.