PDA

View Full Version : Hodi kijijini

The Great Cardinal
01-21-2009, 03:48 PM
WAUNGWANA MPOO.
WAZEE KWA VIJANA, AKINA MAMA KWA AKINA BABA
MGENI ANAOMBA URAIA HAPA KIJIJINI KWENU. HODI TENA:confused:

mwanakijiji
01-21-2009, 05:09 PM
WAUNGWANA MPOO.
WAZEE KWA VIJANA, AKINA MAMA KWA AKINA BABA
MGENI ANAOMBA URAIA HAPA KIJIJINI KWENU. HODI TENA:confused:

karibu sana TGC! tena karibu ukaribie... mapema hii alfajiri wanakijiji wengi wako shambani na wengine wameenda kuhamia mashamba ya ya mpunga na wengine kama kawaida wameenda kwenye "mihangaiko" ya kila siku. Naomba niwe wa kwanza kukukaribisha!!

Karibu kijijini!

My more
01-22-2009, 01:55 AM
karibu sana TGC! tena karibu ukaribie... mapema hii alfajiri wanakijiji wengi wako shambani na wengine wameenda kuhamia mashamba ya ya mpunga na wengine kama kawaida wameenda kwenye "mihangaiko" ya kila siku. Naomba niwe wa kwanza kukukaribisha!!

Karibu kijijini!

miye wa pili, Karibu sana THE GREAT C.