View Full Version : Maisha bora ni popote
Mgosingwa
01-22-2009, 07:06 AM
Kwangu mimi Mgosingwa maisha bora ni popote! kwa mantiki hii kwa heashima na taadhima sasa naanza makazi yangu kijijini, ni imani yangu wanakijiji mtanipokea. Nimefurahishwa sana na maisha haya ya kijijini na nawapongeza kwa kazi nzuri mnayoifanya na kushirikishana, hivyo naahidi kuwa mwanakijiji imara na thabiti. ]Mungu tubariki wanakijiji
Mgosingwa
mwanakijiji
01-22-2009, 08:45 AM

karibu sana mgosingwa...
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.