PDA

View Full Version : Nitajitambulishaje?

pundamilia
01-23-2009, 10:38 AM
Mzee Mwanakijiji,

Hebu nieleze ninatakiwa kujitambulishaje?

Anyway ahsante kwa kunikaribisha hapa barazani kwako, natumaini tutapa fursa nyingine ya kupeana changamoto mbalimbali na jinsi ya kupiga hatua moja na nyingine mbele kwa kuongelea masuala tofauti ya kijamii.

Ninakupongeza kwa kuweka barza mbadala, haya ndiyo maendeleo tunayoyataka.

mwanakijiji
01-23-2009, 04:43 PM

karibu kabisa pundamilia.. na zaidi ya kujikaribisha na kujichagulia kigoda hakuna la zaidi.. karibu kuungana na katika kijiji chetu hiki..

pundamilia
01-23-2009, 11:28 PM
karibu kabisa pundamilia.. na zaidi ya kujikaribisha na kujichagulia kigoda hakuna la zaidi.. karibu kuungana na katika kijiji chetu hiki..

Shukrani Mwanakijiji

Kepa
03-06-2009, 03:55 PM
Na mimi naungana na Mzee kukukaribisha

mwanakijiji
03-06-2009, 04:25 PM
Pundamilia, naona yuko busy mbugani.. au anajifichwa anawindwa!