PDA

View Full Version : Je Unamjua US Based Blogger

ChingaMzalendo
01-24-2009, 07:57 AM
habari za kuaminika za hivi punde zinasema kwamba, Dr. shayo (US blogger) a.k.a Kawawa ndiye yule aliyemvamia mashaka kwa michuzi kwa kumuomba washirikia katika mdahalo. Habari hizi zimepatikana baada ya Daktari Shayo kutuma barua pepe kwa bahati mbaya au nzuri kwa mtu ambaye hakuwa mlengwa

Habari hizo zimeendelea kusema kwamba, shayo amejigamba kwamba mdahalo kati yake na mashaka lazima ufanyike kwa sababu tayari wanahabari wake wameanza kumfatilia mashaka ili kumshawishi kushiriki.

Mzee mzima dakta, pia ameonyesha shauku ya kugombea ubunge katika bunge lijalo kupitia moja ya viti mkoani kilimanjaro

Kama hizi habari ni za kweli, basi jamaa takuwa amejidhalilisha sana.

mwanakijiji
01-24-2009, 08:55 AM

kwanini atakuwa amejidhalilisha?

ChingaMzalendo
01-25-2009, 12:35 AM
kwanini atakuwa amejidhalilisha?

Mm kwa maoni yangu naona ni kujidhalilisha kwa sababu, angekuwa na nia nzuri asingetumia jina la US Blogger. Vilevile angetumia jina lake kuonyesha kwamba mabishano yao yalikuwa na manufaa kwa taifa siku kutaka kuukwaa umaarufu. nimesoma malelezo yake lakini kusema kweli, nakiri kwamba US Blogger, hakuwa na hoja ypyote zaidi ya kuumbuliana na mashaka.

Mwanakijiji vipi bado mnafualitia maswala ya Mjadala, tutapenda kusikiliza mdahalo tutaarifu mabo yakiwivaaaaaaaaaa ?