View Full Version : Kijiji cha Wazalendo
a2faces
01-24-2009, 12:07 PM
Mwanakijiji,
Nasikitika kwamba nimechelewa kufika katika Kijiji hiki cha Wazalendo wa ukweli lakini kwa kuwa sasa Mzalendo mimi nimefika basi acha tuanze............
Kungulilo
mwanakijiji
01-30-2009, 08:28 AM
Mwanakijiji,
Nasikitika kwamba nimechelewa kufika katika Kijiji hiki cha Wazalendo wa ukweli lakini kwa kuwa sasa Mzalendo mimi nimefika basi acha tuanze............
Kungulilo
a2faces karibu sana kijijini, na sijui kwa sababu ya sura mbili labda sikukuona ulipoingia.. jichagulia mahali pa kuketi .. Tunafurahi kabisa kuungana nasi.. togwa, ulanzi, au chimpumu?
Mpita Njia
01-30-2009, 10:03 AM
Karibu sasna mkuu, jisikie umeshafika nyumbani
mfumwa
01-30-2009, 11:45 AM
Mwanakijiji,
Nasikitika kwamba nimechelewa kufika katika Kijiji hiki cha Wazalendo wa ukweli lakini kwa kuwa sasa Mzalendo mimi nimefika basi acha tuanze............
Kungulilo
Kwa wazalendo hapaharibiki neni, karibu mkuu.
My more
02-02-2009, 07:25 PM
Karibu sana sasa sijui unaanza na side A au Side B ? au ndo face zote mbili kwa mpigo? karibu ukaribie tunategemea mengi maana unaonekana umekamilika na 2faces
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.