Tom
01-26-2009, 02:59 PM
Mwanakijiji umeniangusha. Watu hawapingi matokeo ya uchaguzi kutokana na low voter's turnout. Sheria zetu zinataka simple majority. Voters turnout inaweza kuwa imetokea kutokana na watu kukata tamaa kutokana na mgombea wa CHADEMA kushindwa kushiriki; au kama ilivyo kawaida kwa chaguzi ndogo mfano Kiteto ambapo msisimko wa kisiasa unakua mdogo ukilinganisha na wakati wa uchaguzi mkuu. Hii ni kawaida sehemu nyingi duniani; au sababu nyinginezo.
Nafikiri labda ungejenga hoja yako kwenye ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi-kama zimekiukwa kiasi cha kujustify appeal.
Mwakyembe jana aliongelea udhaifu katika uandishi wetu wa habari. Mwanakijiji nakuaminia sana; usiniangushe tena. Take your time; put a thought process and edit your news kama unavyofanya siku zingine. This is a positive criticism though