PDA

View Full Version : Waziri Mkuu alisema nini hasa?



mwanakijiji
01-26-2009, 05:12 PM
Kwa siku kadhaa sasa hivi kile ambacho alisema Waziri Mkuu kuhusu wauaji wa Albino kinabakia kuwa siri kubwa. Kumekuwa na jitihada za makusudi kabisa kuficha alichosema Waziri Mkuu.

Jana katika taarifa ya habari ya saa mbili (za usiku) TBC ilizungumzia jinsi NCCR ilivyotoa tamko la kulaani mauaji ya Albino. Wao wakaongezea na kusema kuwa Waziri Mkuu alisema kuwa wale wanaohusika na mauaji ya Albino "washughulikiwe kwa mujibu wa sheria".

Nimepata nafasi ya kuzungumza na watu wengi weekend hii kupata hasa alichosema Waziri Mkuu karibu wote wanazungumzia kile "alichomaanisha". Nimegundua hakuna anayesema hasa kile "alichosema".

Je ni kweli Waziri Mkuu alitoa kauli hizi kama zilivyonukuliwa na Mwananchi?:


a. Mkimuona mtu akamkata mwingine shingo naye muueni kwani sasa viongozi wote tumechoka... no more, I can`t tolerate anymore (imetosha, siwezi kuvumilia tena

na hii hapa kuhusu UVCCM kushiriki katika kukomesha mauaji ya albino, labda kwa kuangalia (a) hapo juu.


b. Umoja wa vijana mna jeshi zuri ambalo naamini mkiamua mnaweza kutokomeza mauaji ya wazee wetu pmoja na ndugu zetu maalbino na kazi hiyo nawaagiza muanze leo msisubri auawe mwingine tena

Naamini hakuna "maelezo" au "taarifa kwa vyombo vya habari" ambayo inajibu swali la nini hasa Waziri Mkuu alisema.

Kuna njia moja tu ya kuamua kwa haki kauli ya Waziri Mkuu ilikuwa ni ipi hasa maana uwezekano kuwa Waziri Mkuu wetu akizungumza kwa niaba ya "viongozi wote" na kwa jina la serikali kwamba amewaambia watu wa kijijini kuwa wanaweza kuua with impunity inatisha. Hofu yangu siyo kwa wasomi wa kisheria na watu ambao wanaweza kuelewa "alichomaanisha" bali wale watu ambao walikuwa wanamsikiliza walisikia nini hasa.

Sisi wengine wanaweza kutuzuga kuwa alimaanisha nini lakini wale Sungusungu, na wanakijiji kule Shinyanga walivyomsikia watakuwa na utata wowote wa kuelewa alichomaanisha?

mwanakijiji
01-26-2009, 09:53 PM
Habari zote ambazo nimezifuatilia zinasema kuwa ni kweli Waziri Mkuu aliyasema maneno hayo na zaidi ya yote pia aliyamaanisha.

Steve Dii
01-28-2009, 04:34 AM
Habari zote ambazo nimezifuatilia zinasema kuwa ni kweli Waziri Mkuu aliyasema maneno hayo na zaidi ya yote pia aliyamaanisha.

....mmmmh, I think that is open to debate.... how do you ascertain someone's comment to be the implied truth should they choose to refute their original statement?!

mwanakijiji
01-28-2009, 08:49 AM
....mmmmh, I think that is open to debate.... how do you ascertain someone's comment to be the implied truth should they choose to refute their original statement?!

maneno yana maana, ukitaka kusema kitu hakikisha unasema unachomaanisha, kama hukumaanisha unachosema basi fafanua ulichosema. Ukisema "naomba maji" halafu mtu akakuletea maji na wewe ukakataa na kusema "sikumaanisha hivyo" watu watataka kujua uliposema "maji" ulimaanisha nini maana "maji" watu wanaelewa ina maana gani, kwani hakuna utata.

Sasa kama mawazoni uliposema "maji" ulimaanisha "togwa" basi inabidi ufute kauli ya awali na kusema "nilimaanisha togwa, mdomo uliteleza tu".

Sasa ukikaa kimya na kusema "waache watafsiri wapendavyo" haisaidii kwani maji hayana tafsiri nyingi.

Mpita Njia
01-28-2009, 01:15 PM
Hii ni sehemu ya habari iliyoandikwa na Citizen leo kuhusiana na kauli ya Pinda, bado ameng'ang'ania alichokisema


PM: Yes, killers of albinos should die
By Mkinga Mkinga

People caught red-handed killing albinos should also be killed on the spot, Prime Minister Mizengo Pinda has reiterated.

Mr Pinda told The Citizen on Monday that people who were condemning his remarks did not have an idea of the senseless brutality being wrought upon albinos by killers who were after their body parts.

He said his remarks were in line with the urgency and seriousness with which the Government treated the wave of albino killings in some parts of the country, and reflected its commitment to putting an end to the atrocities once and for all.

Mr Pinda added that his statement would not
have shocked anybody who knew the extent of suffering the killings had caused.

"It may be an unusual statement by a prime minister, and I wish to confirm that I made the remarks to send a clear message to albino killers? they should know that if they are caught, they will have to face the fate they had hoped their victims would suffer," he said in an exclusive interview with The Citizen.

Mr Pinda said he and the Government would no longer tolerate the senseless and brutal killings of human beings just because they happen to be of a different colour.

The Citizen had sought clarification from the prime minister after he was quoted as directing members of the ruling CCM's youth wing to kill people caught in the act of killing albinos. The remarks drew sharp criticism from human rights activists, legal experts and the opposition leaders.

The opposition NCCR-Mageuzi said in a news conference on Sunday that Mr Pinda's remarks were ?irresponsible and totally unacceptable?, and asked President Jakaya Kikwete to immediately sack him.

The party's secretary-general, Mr Samuel Ruhuza, said the remarks made a mockery of the principles of the rule of law and encouraged mob justice.
But Mr Pinda brushed aside the criticisms, saying the Government had decided to take the bull by the horns in its war against albino killers.

"A person who knows that he will be killed when caught in the act of killing an albino will think twice before embarking on such an evil mission," he said. Mr Pinda said his statement was not meant to encourage people to take the law into their own hands, but to show that the Government was serious on the issue.

Mr Pinda also said he had directed regional police to place special emphasis on the security of albinos in their areas of jurisdiction.
More than 40 albinos have been killed and mutilated in the past year.

The killers take various body parts which witchdoctors use to make concoctions supposed to make their clients rich.
Last week, Mr Pinda announced the revocation of all licences issued to traditional healers across the country.