View Full Version : Mitambo ya Aggreko yaondolewa
Mpita Njia
01-27-2009, 03:10 PM
KUna mtu ameshuhudia malori yakiondoa ile mitambo ya Aggreko pale Ubungo. Kumbuka kuwa mitambo hii ilizuiliwa na amri ya Mahakama baada ya TRA kufungua kesi ya madai ya zaidi ya Sh kumi bilioni kutoka kwa Aggreko kwa kushindwa/kukwepa kulipa kodi
mwanakijiji
01-27-2009, 03:49 PM

ina maana wameshalipa hiyo kodi au ndiyo inachukuliwa kwenda kupigwa mnada??
Japhet
02-05-2009, 11:11 PM
Ukiita mitambo unaipandisha chati...sema injini za matrekta......
mwanakijiji
02-06-2009, 12:28 AM
Ukiita mitambo unaipandisha chati...sema injini za matrekta......
Aisee usiseme.. wengine walisema ati ni injini za ndege or something.. yaani hatujui tofauti?
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.