PDA

View Full Version : Amani kwenu



Mpenda amani
11-10-2008, 01:21 AM
Should I start a new thread to introduce myself? anyway here I am goes by the name Mpenda amani na ninapenda amani kwelikweli,
Looking foward to kuendeleza libeneke

amani kwenu!:)

mwanakijiji
11-10-2008, 07:02 AM
Karibu hapa ndio mahali pa kujikaribisha na kukaribishwa; Hapa ndipo "kijijini" kwetu. Karibu tuendeleze Libeneke.

Mpita Njia
11-10-2008, 10:45 AM
Amani iwekwako Mpenda amani na karibu sana

Desert Eagle
11-10-2008, 09:55 PM
Amani ni uti wa mgongo wa maisha ya mtu wa hali ya chini maana hana option hasa panapokua hakuna amani, so na mie nakukaribisha sana ndugu na amani iwe nawe pia

Mpenda amani
11-14-2008, 11:38 AM
Asanteni sana.