PDA

View Full Version : Utambulisho

Angeris
01-28-2009, 11:46 PM
Ni member mpya hapa mwanakijiji.com

Angeris.

mwanakijiji
01-29-2009, 12:40 AM
Ni member mpya hapa mwanakijiji.com

Angeris.

Karibu mwanakijiji mwenzetu! Sijui unapendelea nini cha kukutuliza kiu cha safari.

Angeris
01-29-2009, 02:26 PM
Asante mwanakijiji

subiri nipumzike na kuzoea mazingira halafu nipate cha kutuliza kiu.

mwanakijiji
01-29-2009, 04:53 PM
Asante mwanakijiji

subiri nipumzike na kuzoea mazingira halafu nipate cha kutuliza kiu.

mmh.. na haya majamvi ya kwetu hapa, unaweza ukajikuta unapitiwa usingizi hivi hivi.. enjoy!

Matigari
01-30-2009, 03:14 AM
Ni member mpya hapa mwanakijiji.com

Angeris.

karibu ugali na mlenda. kinywaji uraka.

Mpita Njia
01-30-2009, 10:29 AM
Karibu sana Angeris, kuwa makini na watu kama Matigari anayekukaribisha ulabu hata kabla hujapumzika ... lol

mfumwa
01-30-2009, 11:42 AM
Ni member mpya hapa mwanakijiji.com
Angeris.

Karibu mwananzengo, tupate kujulishana, kuhabarishana, kuchambua nk yanayojiri.

Fatsal
02-04-2009, 03:49 PM
Hi Colleagues

I'm a new member and I don't know much. I'm expecting you Guys to lead me

Thanks

Fatsal

Mpita Njia
02-04-2009, 04:57 PM
Welcome, just ask the way, and you will be assisted

mwanakijiji
02-04-2009, 05:03 PM
Hi Colleagues

I'm a new member and I don't know much. I'm expecting you Guys to lead me

Thanks

Fatsal

you better be careful where you you want us to lead you.. but even more.. who leads you!

My more
02-12-2009, 12:01 PM
you better be careful where you you want us to lead you.. but even more.. who leads you!

Anauhakika kabisaaa na ndivyo ilivyo kwamba ukishafika kijijini hakuna kitakachoharibika. kila mwaanakijiji yupo kusaidi yaende salama.:)

duru langu
02-15-2009, 01:16 AM
Hi Colleagues

I'm a new member and I don't know much. I'm expecting you Guys to lead me

Thanks

Fatsal

Karibu sana. ingekuwa vyema kama ungebisha hodi peke yako lakini hapa naona
umebisha pamoja na Angeris. Lakini hakijaharibika kitu ndo ushafika.

duru langu
02-15-2009, 01:16 AM
Ni member mpya hapa mwanakijiji.com

Angeris.

Karibu sana.

Kanyarwe
05-09-2009, 11:55 AM
Mimi ni member mpya lakini wa siku nyingi...! nilikuwa sijawahi kupost jambo lolote...sasa nawajoin wazee! Ahsanteni kwa kazi nzuri ya kielimisha jamii,

Knyrw

mwanakijiji
05-09-2009, 09:28 PM
karibu kabisa Kanyarwe.. na chukua kigoda na laputopu yako au desikitopu na furahia jukwaa..

theo
05-10-2009, 02:15 PM
Kwa bahati mbaya nimejiunga na hii forum si kwa kuelekezwa na mtu, pengine angenielekeza vizuri namna ya kuitumia. nimekuwa nikipitia makala na maoni yanayotolewa kupitia forum mbali mbali nimependezwa na kwa kuwa nami nakaribia kupasuka ningependa kuchangia na kutoa maoni yangu, ili nipumue, si wajua tena unapopata nafasi ya kusema kinachokukereketa ni kama umetua mzigo.

tatizo langu, ninapo sign in nakosa mahali pa ku post maoni yangu. nielekeze tafadhari

mwanakijiji
05-12-2009, 07:24 PM

karibu sana na wewe sema tu.. hakikisha kuwa una confirm registration yako kwenye email uliyotumia kujiandikisha.