PDA

View Full Version : Hodi



Keil
01-30-2009, 04:05 AM
Hodi wenye nyumba!

mwanakijiji
01-30-2009, 08:25 AM
Hodi wenye nyumba!

Karibu mgeni na ujisikie kijijini kabisa.

Mpita Njia
01-30-2009, 10:13 AM
Karibu umetukuta wenyewe

mfumwa
01-30-2009, 11:43 AM
Hodi wenye nyumba!

Karibu kijijini, kijiji ni mwanzo wa mji.

My more
02-12-2009, 12:02 PM
Hodi wenye nyumba!

tupo karibia mzee

duru langu
02-14-2009, 03:20 AM
Karibu umefika. Habari za utokako?

Kepa
03-06-2009, 04:12 PM
Naona Keil kaishia moja kwa moja

Daywell
03-15-2009, 08:45 PM
Hodi wanakijiji,naomba nafasi ya makazi!