mwanakijiji
11-10-2008, 06:28 AM
kwa mara nyingine tena TAnzania imekuwa mwenyeji wa msanii wa Kimarekani ambaye amekuja kutumbuiza. Kwa miaka hii michache iliyopita wasanii mbalimbali hasa wale wenye asili ya Afrika wamekuwa wakija Tanzania aidha kwa kutoa burudani au kwa miradi mbalimbali au hata wale wanaokuja kupumzika tu. Je ni kwa kiasi gani tunanufaika kama TAifa na kuitangaza nchi maana kwa kadiri ninavyoona ni kuwa zaidi wasanii hawa wanaambiana wenyewe kwa wenyewe au kupitia channels zao lakini ni wachache ambao wakirudi Marekani wanaitangaza Tanzania.
Inaonekana kana kwamba Tanzania ni siri yao.
http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/thumbs/1226149696_kat_de_luna_2.jpg
Hapo mwanadada Kat De Luna akiwa Bongo.
Hapa tena mwanadada huyo:
http://images.starpulse.com/Photos/Previews/Kat-DeLuna-s04.jpg
Huko nyuma Beyonce na mumewe Jay Z walitembelea BOngo pia
http://images.starpulse.com/Photos/Previews/Beyonce-Knowles-sb10.jpg