PDA

View Full Version : Happy Birthday Mfalingundi



Mpita Njia
02-02-2009, 12:37 PM
Sijui kama hapa ni mahali pake, lakini nimeona member mwenzetu, Felix Mfalingundi, leo anasherehekea miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake. naomba nimpongeze sana na kumtakia maisha marefu

mwanakijiji
02-02-2009, 07:28 PM
Heri ya kuzaliwa
Heri ya kuzaliwa
Heri ya kuzaliwa kwako,
Heri ya kuzaliwa Mfalingundi

Uzidi kuona mengi, yaliyojaa heri na siyo na shari!

Matigari
02-03-2009, 07:25 AM
hongera mnyalukolo.