PDA

View Full Version : Picha zako!



mwanakijiji
02-04-2009, 05:12 PM
Mpendwa mwanachama,

Hapo juu utaona kuwa tumeongeza sehemu ya kuweka albamu za picha zako za matukio na mambo mbalimbali. Tengeneza albam yako na bandika picha zako mbalimbali kwa kuzingatia maadili ya forum hii na suala zima la "privacy" ya watu. Picha zozote ambazo unaweza kuionesha familia yako nao wakacheka au kufurahia waweza kuzibandika.

Watu wataweza kutoa maoni mbalimbali na pia ukituomba tuunaweza kuondoa sehemu ya maoni kwenye albamu yako.

Matukio ya jamii, jumuiya, binafsi, graduation, ubatizo, ndoa n.k yote yanakaribishwa.

Administrators
Mwanakijiji.COM

My more
02-12-2009, 11:58 AM
sawa mkuu ngoja nianze kujifunza utaratibu wa kuweka kumbukumbu katika mfumo wa picha. nafikiri si muda nitapata kajialbum

duru langu
02-15-2009, 01:19 AM
Tumekusikia Mkjj. Naamini picha za maeneo zinafaa pia.

mwanakijiji
02-15-2009, 01:40 AM
Tumekusikia Mkjj. Naamini picha za maeneo zinafaa pia.

Bila ya shaka picha zozote ambazo unaona zinafaa..

kadada
02-16-2009, 02:50 PM
Ahsante Mwanakijiji tutaweka picha zetu