View Full Version : Abiola
Boniface Mlangwa
02-05-2009, 12:00 PM
Najitambulisha rasmi kama atakayekuwa mchangiaji mahiri kuanzia leo. Naomba kutoa hoja
Boniface Mlangwa
02-05-2009, 12:02 PM
Najitambulisha rasmi kama atakayekuwa mchangiaji mahiri kuanzia leo. Naomba kutoa hoja "abotion cannot be done when a child has been born"
mwanakijiji
02-05-2009, 04:52 PM
Karibu kabisa, na tunatarajia kina cha michango yako ya kusisimua na kuchochea fikara. Umefika kijijini na yote yanazungumzika karibu sana.
My more
02-12-2009, 11:55 AM
Najitambulisha rasmi kama atakayekuwa mchangiaji mahiri kuanzia leo. Naomba kutoa hoja
Ruksaaaa. karibu sana kijijini
Mpita Njia
02-12-2009, 05:42 PM
"abotion cannot be done when a child has been born"
Mh! Ndo umeanza na hoja... karibu sana
mwanakijiji
02-12-2009, 06:58 PM
Mh! Ndo umeanza na hoja... karibu sana
lakini hiyo kama ni hoja naona kuna utata kwa sababu hapa wanafanya hivyo.. mtoto anazaliwa halafu wanamuua!
duru langu
02-14-2009, 03:08 AM
Karibu sana.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.