View Full Version : Meli inazamishwa na nini......?
Mwana-k
02-06-2009, 09:34 AM
" Maji yaliyo nje ya meli hayawezi kuizamisha Meli bali maji yaliyo ndani ya Meli ndiyo yazamishayo Meli "
Uzuri wa Mwanakijiji utafanywa na members wake na wengine wanaohusika nayo.
mwanakijiji
02-06-2009, 05:11 PM
" Maji yaliyo nje ya meli hayawezi kuizamisha Meli bali maji yaliyo ndani ya Meli ndiyo yazamishayo Meli "
Uzuri wa Mwanakijiji utafanywa na members wake na wengine wanaohusika nayo.
Ni kweli kabisa!! Karibu!!
Ach-F
02-07-2009, 03:04 PM
" Maji yaliyo nje ya meli hayawezi kuizamisha Meli bali maji yaliyo ndani ya Meli ndiyo yazamishayo Meli "
Uzuri wa Mwanakijiji utafanywa na members wake na wengine wanaohusika nayo.
Hayo yaliyo ndani ya meli yametoka wapi? Karibu!
Mpita Njia
02-07-2009, 03:22 PM
Afadhali mwana fasihi amejianisha mwenyewe. karibu Mkuu
My more
02-12-2009, 11:52 AM
|Mwana-K umesomeka karibu sana
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.