PDA

View Full Version : Ana kwa Ana: Dr. Slaa na Masha (Picha)



mwanakijiji
02-06-2009, 05:26 PM
http://www.mwanakijiji.com/images/stories/habari/other/1.jpg

Masha: "Slaa umezidi, mimi ni msomi niliyebobea tena nimesoma Marekani! Huwezi kuniambia lolote"

Dr. Slaa: "Kwanini usijiuzulu tu yaishe bwana mdogo! Unapigana na jiwe!"

NB: Picha na Mroki

Mpita Njia
02-06-2009, 06:27 PM
Masha anaonekana anazungumza kwa hisia za usongo sana

Angeris
02-06-2009, 06:55 PM
Wamependeza.
Mpiga picha aliwapata katika pozi zuri zaidi.
Picha ipo natural!

dickabudi
02-07-2009, 12:58 PM
Ni hatua nzuri sana, mnabishana kiitikadi lakini mnaweza kaa pamoja pia mkaongea nimeipenda

Mroki haya ndiyo mambo

dickabudi
02-07-2009, 01:01 PM
Mroki, tutafutie pozi la Rais Karume na Sharrif Hamad pia