PDA

View Full Version : matokeo ya Form yatangazwa

Mpita Njia
02-08-2009, 06:55 PM
Yanaonyesha kuwa kiwango cha ufaulu kimeshuka kwa asilimia 10.13. Wanafunzi wengi wamefanya vizuri kwenye Kiswahili (aslimia 81.59) na wengi wamefeli basic mathematics (waliofaulu somo hili ni asilimia 24.33 tu).
Nyingi ay shule zinazoongoza kama kawaida ni za binafsi huku senminari zikionekana kufanya vema zaidi.
shule kumi bora zenye watahiniwa 30 au zaidi
1. St Francis Girls (Mbeya)
2. Marian Girls (Pwani)
3. St Joseph-Kilocha Seminary (Iringa)
4. Uru Seminary (Kilimanjaro)
5. Dungunyi Seminary (Singida)
6. Anwarite Girls (Kilimanjaro)
7. St Mary Goreti (Kilimanjaro)
8. Feza Boys (dar es Salaam)
9. Don Bosco Seminary (Iringa)

Shule 10 bora zenye watahiniwa chini ya 35
1. Scolastica (Kilimanjaro)
2. Feza Girls (Dar)
3. Brookebond (Iringa)
4. Bethelsabas Girls (Iringa)
5. Maua Seminary (Kilimanjaro)
6. Rubya Seminary (Kagera)
7. St Marys Junior Seminary (Pwani)
8. Katoke Seminary (Kagera)
9. Kilomeni (Kilimanjaro)
10. St Carolus (Singida)

Shule 10 za mwisho zenye watahiniwa 35 au zaidi
1. Selembala (Morogoro)
2. Kilindi (Pemba)
3. Ngwachani (Pemba)
4. Michiga (Mtwara)
5. Ummussalama (Pwani)
6. Chunyu (Dodoma)
7 Busi (Dodoma)
8. Uondwe (Pemba)
9. Nala (Dodoma)
10. Maawal (Tanga)

Shule 10 za mwisho zenye watahinwia chini ya 35
1. Juhudi Academy (Zanzibar)
2. Mima (Dodoma)
3. Selenge (Singida)
4. Kijini (Zanzibar)
5. Kwamkoro (tanga)
6. kwala (Pwani)
7. Mtende (Zanzibar)
8. Ng'hoboko (Shinyanga)
9. Mbuzini (Pemba)
10. Mwadui Technical (Shinyanga)

matokeo zaidi yanapatikana kwenye tovuti ya nect (The National Examinations Council of Tanzania) au www. matokeo.necta.go.tz

mwanakijiji
02-09-2009, 04:41 PM

Mbona hii haishangazi sana.. matokeo haya yanalingana kabisa na matokeo ya shule ya msingi, na yanalingana na matokeo kwenye NBAA, n.k Maeneo yote tatizo bado ni sayansi na hisabati.

Mpita Njia
02-10-2009, 08:10 PM
Mbona hii haishangazi sana.. matokeo haya yanalingana kabisa na matokeo ya shule ya msingi, na yanalingana na matokeo kwenye NBAA, n.k Maeneo yote tatizo bado ni sayansi na hisabati.

nakibaya ni kuwa educationists wetu hawaonekani kuliona hilo kwua ni tatizo linalohitaji mkakati wa haraka wa kuliaddress

Ach-F
02-14-2009, 09:21 PM
Aliyepata maoni kutoka Wizara ya elimu tunaomba atuwekee.

Mpita Njia
02-16-2009, 11:04 AM
Aliyepata maoni kutoka Wizara ya elimu tunaomba atuwekee.

Mpaka leo sijasikia Maghembe akitoa maoni yoyote kuhusiana na matokeo haya. hata Ndalichako wa NECTA ambay ameyatangaza, hajatoa ufafanuzi kuonyesha ni kwa nini matokeo yapo kama yalivyo