View Full Version : Hodi hodi wenyeji
Mchambawima
02-12-2009, 09:24 AM
Najitambulisha kijijini mjini kumenishinda
Mpita Njia
02-12-2009, 10:11 AM
Karibu sana lakini angalia usije na ujanja wa mjini, haufai huku kijijini... nako kuna wajanja lakini
My more
02-12-2009, 11:37 AM
Karibu sana aka Bawima. za ulikotoka? afadhari umegundua kuwa kijijini hakuna kushindwa, karibia usijikie upo kijijini
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.