PDA

View Full Version : Msaada kuanzisha albam

Mpita Njia
02-16-2009, 02:00 PM
Kila nikifungua hapo kwenye photo, nakumbana na album ya mwanakijiji na Makange. na mimi nataka kuanzisha yangu, natakiwa kufanya nini?

makange
02-16-2009, 02:45 PM
Kila nikifungua hapo kwenye photo, nakumbana na album ya mwanakijiji na Makange. na mimi nataka kuanzisha yangu, natakiwa kufanya nini?

Ukiangalia hapo juu kwenye Drop Down Menu kwenye PICS (ukiwa upande wa NEWS SITE basi itakuwa kwenye PHOTOS) utaona MY ALBUMS linked http://www.mwanakijiji.com/en/my-albums.php Kama umesha log in basi ukiclick hapo utaenda kwenye page ambayo utaweza kuCREATE NEW ALBUM (Create a Photo Album)

NOTE: You must be logged in to do this.
Max Albums: 5
Max Photos per Album: 50