PDA

View Full Version : Starehe karaha?

mwanakijiji
11-10-2008, 08:03 AM
Ni mmoja wa ndugu waliofurahia Jirambee Fiesta: Sasa huu ndiyo Uswahili kweli, yaani watu hawaheshimu "Tai"? Naona hapa wanatudhalilisha wavaa tai wengine. Halafu hakukuwa na jamaa yeyote ambaye angeona umuhimu wa kuivua hiyo tai?

http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/thumbs/1226220170_fiesta.jpg

magoma
11-25-2008, 08:03 PM
huyo kapumzika. na ninadhani ana haki hiyo naona kama hammtendei haki maana hafanyi jambo lolote la ajabu, shell imezidi unapumzika watu wazima wanatambua hili.

mwanakijiji
11-25-2008, 10:34 PM
kwa hiyo unachosema ni raha tupu; sasa jamani ameshindwa hata kuvua tai? anadhalilisha tai..

Kepa
11-26-2008, 02:04 AM
kwa hiyo unachosema ni raha tupu; sasa jamani ameshindwa hata kuvua tai? anadhalilisha tai..

Alishasifiwa home alipokuwa anaondoka kwamba Tai imempendeza sasa akitoa si itakuwa kesi???

anonymous
11-27-2008, 02:43 PM
kwa hiyo unachosema ni raha tupu; sasa jamani ameshindwa hata kuvua tai? anadhalilisha tai..

Nilifikiri ungesikitika kuwa anajidhalilisha UTU wake. Kumbe TAI bwana!!!

My more
12-12-2008, 02:40 AM
Nilifikiri ungesikitika kuwa anajidhalilisha UTU wake. Kumbe TAI bwana!!!

Anony hujui Tai ni International figure?:D:D ni sawa na ukutwe umeweka togwa kwenye glass ya wine;)

mwanakijiji
12-12-2008, 02:53 AM
Nilifikiri ungesikitika kuwa anajidhalilisha UTU wake. Kumbe TAI bwana!!!

unajua kwa wengine tai ndiyo utu wenyewe.. ama?

My more
12-12-2008, 06:16 PM
unajua kwa wengine tai ndiyo utu wenyewe.. ama?

Naelekezwa na my honey kuwa eti tai 'inashurutisha' mvaaji jinsi ya kujitawala siku hiyo aliyoivaa. mfano ukiwa huna nauli ya daladala na unatarajia kuomba msaada kwa konda, ni bora uivue na kuiweka mfukoni kwanza.;)

otingocni
01-16-2009, 02:39 AM
Jamani nani kamweka ndugu yangu hadharani? Muwe mnafunika watu uso basi, ah!

zion
01-16-2009, 09:27 AM
Nimeukumbuka msemo wa Pombe sio Chai..

duru langu
01-18-2009, 09:32 PM
Angepigana au kutukana watu mgesema ooh Jamaa kalost.

Sasa mwenyewe kaamua kuwa mtu wa amani na kujipumzikia mnadai
kadhalilisha tai. Hamwoni tai yenyewe ameilegeza? Labda alikuwa anataka
kuivua usingizi ukamzidia:D

bulesi
01-20-2009, 09:21 AM
Nadhani huyu bwana alianza ULABU bila kula na wajamja wakamtilia kidonge; ndio maana anapumzika!!

ponda
01-20-2009, 11:18 AM
kwa hiyo unachosema ni raha tupu; sasa jamani ameshindwa hata kuvua tai? anadhalilisha tai..

Tai nini bwana hayo mawazo ya kimagharibi, alafu kulewa na kufanya vile sio uswahili kama usemavyo mwanakijiji, huko mtoni nadhani vituko kama hivi vipo. au ni ile dhana kila kitu kibaya ni cha KISWAHILI, NACHOKA,