View Full Version : hodi kijijini
tofty
02-19-2009, 11:08 AM
hodi wanakijiji, naomba kurudi kijijini kwani maisha ya mjini yamenishinda!
Mpita Njia
02-19-2009, 12:45 PM
Karibu sana tujitegemee
Angeris
02-23-2009, 11:42 PM
Japo siku ya saba baada ya kuzoea kijiji,inabidi upewe jembe ukalime. Ugeni unakuwa umeisha.
Karibu sana village!
Ach-F
02-24-2009, 12:29 AM
hodi wanakijiji, naomba kurudi kijijini kwani maisha ya mjini yamenishinda!
Mji gani umekushinda?
mwanakijiji
02-24-2009, 05:01 PM
karibu sana kijijini maana hapa yote yanawezekana kwa gharama nafuu.. na mafisadi wengi (kama siyo wote) umewaacha huko huko mjini!
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.