View Full Version : Liumba atoweka
Mpita Njia
02-19-2009, 05:55 PM
wasiwasi umetanda kuwa mtuhumiwa katika kesi ya minara pacha ya benki kuu, Amatus Liumba ametoroka. wasiwasi huu unatokana na kuwa mamlaka zimeshindwa kumpata tangu zilizpoanza kumtafuta jana. hakimu anayesikiliza kesi yake jama alitoa hati ya kumtaka kufika mahakamani lakini haku[atikana nyumbani kwake na simu zake pia hazipatikani. leo wadhamini wake walizuiliwa kwa muda mahakamani kisutu lakini wameachiwa kwa sababu hakimu hakuweza kuendelea na kesi bila faili-faili limeitishwa mahakama kuu
Ndugu wanakijiji wenzangu,nikiwa nimejipumzsha jioni ya leo(EAT) nikaona wacha angalau nisurf ili nipate kufahamu nini hasa kinaendelea hapa Tz na ulimwenguni kwa ujumla.Nimepatwa na mshtuko mkubwa nilipokumbana na hii habari kuwa Amatus Liyumba ametoroka.I mean he is no where to be found.Baada ya kuweka dhamana ya 1.4% of the total bail amount na kukabidhi pasport yake iliyokwisha muda tangu 2007.Wadhamini wake walikuwa wanashikiliwa tangu asubuhi ila cha kushangaza jioni hii eti wameachiwa!!
mwanakijiji
02-19-2009, 11:32 PM
Ndugu wanakijiji wenzangu,nikiwa nimejipumzsha jioni ya leo(EAT) nikaona wacha angalau nisurf ili nipate kufahamu nini hasa kinaendelea hapa Tz na ulimwenguni kwa ujumla.Nimepatwa na mshtuko mkubwa nilipokumbana na hii habari kuwa Amatus Liyumba ametoroka.I mean he is no where to be found.Baada ya kuweka dhamana ya 1.4% of the total bail amount na kukabidhi pasport yake iliyokwisha muda tangu 2007.Wadhamini wake walikuwa wanashikiliwa tangu asubuhi ila cha kushangaza jioni hii eti wameachiwa!!
Nadhani watu wasiwe na wasiwasi, kwa sababu kwani hadi hivi sasa tumeshakubali mchezo wacheze wao, sheria za mchezo za kwao, uwanja wao, refa wao.. sasa sisi wengine tubakie kuwa watazamaji tu!
Ach-F
02-20-2009, 02:00 AM
Waendelee kucheza tu, lakini wakati siku zao zikifika sidhani kama watasalimika.
duru langu
02-20-2009, 02:16 AM
Kama hii habari ni ya kweli basi bongo tunashughuli.
Kwa nini tunakimbilia kusema ametoroka?
Kwani haiwezekani kuwa amepotezwa?
Je haiwezekani kwamba mapungufu yote yaliyojitokeza
wakati wa kupewa dhamana ilikuwa tu matayarisho ya
"kupotezwa kwake"?
Kama huyu bwana ameweza kupanga hiyo mipango
ya kutoroka akiwa rumande basi hakuna sababu ya kumtafuta
kwani jamaa ni "mkali".
Mpita Njia
02-20-2009, 01:25 PM
Hajatoroka wala hajarotoshwa, wala hajapotezwa. Amepewa dhamana, anapotakiwa kuwa hilo ni juu yake. Kinachotakiwa ni kuwa aje mahakamani feb 24, ndiyo siku aliyopangiwa wakati anatoka kwa dhamana. Hiyo arrest warrant iliyotolewa yeye wana hana habari nayo na hilo si kosa lake kwa sababu kwa mujibuw a dhamana yake, anaruhusiwa kwenda popote ndani ya dar es Salaam na si lazima akae nyumbani kwake au simu yake iwe wazi saa zote. Kama akikosekana hiyo feb 24, nadhani hapo ndipo mahakama itakapotakiwa kuanza kumtafuta
hii ni kali kweli kweli
ila naona jaji aliye kubali dhamana ya mil 800 badala ya bil 50 anawalakini kwani pia alikubali pasipoti iliyo expire ya liumba itumike kama kuisalimisha
naona kina MWAIKAMBE na tume yake waitwe kuchunguza pana harufu ya "epaepa" hapa
ila wadanganyika sijui lini tutafumbuliwa macho tuone jinsi tunavyonyonywa ndani ya nchi yetu ya Kidanganyika
ila oneday yes tutafika tuu
in god we trust
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.